Mtazame kwa picha mshiriki wa Miss Somalia

Mtazame kwa picha mshiriki wa Miss Somalia

ila kweli nmeamini beuty belongs to eyes of the beholder...Huyo mbona sura ya kawaida mamekup ndo yamemharibu kabisa, kope zimetaka kukutana.

Anazidiwa sura hata na Jokate, wema, lulu nk. Nk.
Na hao niliowataja sio kwamba ni visuuuu, sema tu ni maarufu.
Ukija mtaani watoto ni wakali kuliko hata hao masuperstar
Mtaani humu ni hatar kuna visu hadi sio poa. Ila binafsi yangu huyo mrembo naona ana muonekano mzuri sijajua akitoa hayo madude huko usoni.
 
Damn..Such a Beautifuly girl ✍
 
Back
Top Bottom