Mtazame kwa picha mshiriki wa Miss Somalia

Anavutia sana
ila kweli nmeamini beuty belongs to eyes of the beholder...Huyo mbona sura ya kawaida mamekup ndo yamemharibu kabisa, kope zimetaka kukutana.

Anazidiwa sura hata na Jokate, wema, lulu nk. Nk.
Na hao niliowataja sio kwamba ni visuuuu, sema tu ni maarufu.
Ukija mtaani watoto ni wakali kuliko hata hao masuperstar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…