matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kwa mtazamo wangu, Raia wa Zanzibar wako more informed kuliko wa Tanganyika.
Uthibitisho ni wakati Zanzibar ni nchi ya Pili afrika kuwa na Television miaka ya sabini sisi tumeanza mambo hayo tena kwa tabu sana miaka ya 90. Exposure yao iko huu kuliko sisi. Information is power.
Sitegemei CCM kuangushwa Bara kabla haijaangushwa na kupokonywa dola visiwani. Siku mkiyaona hayo wapinzani changamkeni na kuviinua vichwa vyenu maana tamaa Yenu ya muda mrefu kuona mbuyu umeanguka itakuwa dhahiri.
Nini kifanyike: Nguvu kubwa ielekezwe Zanzibar huku nguvu ya huku barua ikiwa kwa ajili wa kuipruni tu CCM na kuifanya ichukiwe na wananchi kwa kuona madhara ya ywnyewe kuendelea kuwepo.
Kiukweli bila kuzuga maendeleo msawazo hapa nchini yatakuja siku CCM itakapo tawanywa na kufutika kama KANU. Kuna mambo ambayo kamwe hayatabadilika maana ili yabadilike inabidi CCM isiwepo.
Wapinzani nimewavujishia desa hilo nikiwa hapa shambani kwangu nabomoa banda la mbuzi. Wazo likanijia ghafla kama mafunuo ya kinabii.