Wewe ni juha na bwege mtozeni!!
Kama huwezi kuona tatizo kwa chama kimoja kutawala muda mrefu wa zaidi ya miaka 60 basi una mtindio wa ubongo!!
Hapo ulipo utakuwa hujui hata maana ya Katiba na Sheria, wala maana ya Demokrasia na Mfumo wa Multipartism!!Hivi hayo mafanikio ya kaxi ya mikono yako ni yepi? Hivi hujui kwamba Serikali ndo inatakiwa kuweka mazingira wezeshi na Rafiki kwa Watu wake? Mkulima, Mfanyakazi na Mfanyabiashara utafanikio katika Kilimo, Ajira na Bisshara iwapo tu Serikali making itafanya yafuatayo kwa makurdi niliyo yataja:
- WAKULIMA: Serikali lazima iwajali Wakulima kwa kuwawekea mazingira rafiki kwa mahitaji yso muhimo k.m. Pemberton za kilimo(mbolea, madawa, mbegu bora,umwagiliaji na maghala hatimaye BEI BORA. Leo hii kila mahali tunasikia Wakulima wanalalamika, bei mbovu, kukopwa na kutolipwa kwa wakti.
- WAFANYAKAZI: Masilahi ya Wafanyakazi Tanzania ni mabaya sana!Kila siku Wafanyakazi wanalalamikia mishahara ni mibovu, marupurupu yao, fedha ya kujikimu wanaposafiri kikazi, nauli wakti wa likizo na Mafao yao wanapostahafu aanalipwa kwa mbinde! Mtu anastasia leo analipwa basda ya miaka 2-3!!!!!!
- WAFANYIBIASHARA: Kuna maelfu ya Wafanyibiashara wamefunga biashara zao almost nchi nzima tatizo likiwa ni Serikali ya CCM. UTITIRI WA KODI KUBWA au almaarufu "KODI UMIZA".
Kama huyajui haya basi WEWE NDIYE MWENYE UFUKARA WA FIKRA NA AKILI.
Mungu na akusaidie.....!!!!