Mtazamo: Anguko la CCM litaanzia Zanzibar

Hahahaha
Huu Uzi sio wa kuiangushia CCM.
Kwa Sheria ya asili CCM itaanguka tu bila kujali sababu zako.


Huu ni mtazamoshauri kwa wwpinzani
 
kufutika kama KANU
Hivi unajua kinachoendelea huko kwa jirani!!!? Baada ya KANU Kenya imekuwa ya wachache zaidi kuliko kuliko vipindi vyote vilivyopita vya awamu za marais!!! Wakenya wengi wamegeuzwa bidhaa!! Wakenya hao wa chache Wamewatumia wakenya waliowengi kujipatia fedha za COVID19, kisha fedha hizo wameziweka kwenye ' miradi yao'!!!
 
CCM imefika Mwisho kabisa haina mawazo mapya haina vijana smart, haiwezi kujenga hoja, haina nguvu, Huyu pombe ndio kaizika kabisa kwa kutegemea polisi na udikteta wake 1 man show.

Mungu amemkataa, wazungu wamemkataa Raia woote wa Tanzania tumeathirika na utawala wake mbaya na mbovu.

Kwaheri CCM kwaheri Umasikini kwaheri Ukoloni.
Bye JIWE
 
Lichama la Msajili, NEC, polisi, TISS... Utatawala vipi wakati wananchi hawakutaki? Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Eti hatutowi nchi kwa vikaratasi. Ngoja tuone mwaka huu.
 
CCM itaongoza kwa miaka mia moja ijayo . Kama wapinzani ndio hawa wanatengenezwa Ubeligiji.
 
Kwani kuna tatizo gn chama kimoja utawala kwa mda mrefu?!,, wewe ufukara wako wa fikra na mali unataka kisingizio kiwe ccm?, mafanikio ni matokeo ya kazi ya mikono yako,acha ulofa wewe,
 
Wazanzibari huwa wanajitambua tangu siku nyingi.
 
Kwani kuna tatizo gn chama kimoja utawala kwa mda mrefu?!,, wewe ufukara wako wa fikra na mali unataka kisingizio kiwe ccm?, mafanikio ni matokeo ya kazi ya mikono yako,acha ulofa wewe,
Wewe ni juha na bwege mtozeni!!
Kama huwezi kuona tatizo kwa chama kimoja kutawala muda mrefu wa zaidi ya miaka 60 basi una mtindio wa ubongo!!
Hapo ulipo utakuwa hujui hata maana ya Katiba na Sheria, wala maana ya Demokrasia na Mfumo wa Multipartism!!Hivi hayo mafanikio ya kaxi ya mikono yako ni yepi? Hivi hujui kwamba Serikali ndo inatakiwa kuweka mazingira wezeshi na Rafiki kwa Watu wake? Mkulima, Mfanyakazi na Mfanyabiashara utafanikio katika Kilimo, Ajira na Bisshara iwapo tu Serikali making itafanya yafuatayo kwa makurdi niliyo yataja:
  1. WAKULIMA: Serikali lazima iwajali Wakulima kwa kuwawekea mazingira rafiki kwa mahitaji yso muhimo k.m. Pemberton za kilimo(mbolea, madawa, mbegu bora,umwagiliaji na maghala hatimaye BEI BORA. Leo hii kila mahali tunasikia Wakulima wanalalamika, bei mbovu, kukopwa na kutolipwa kwa wakti.
  2. WAFANYAKAZI: Masilahi ya Wafanyakazi Tanzania ni mabaya sana!Kila siku Wafanyakazi wanalalamikia mishahara ni mibovu, marupurupu yao, fedha ya kujikimu wanaposafiri kikazi, nauli wakti wa likizo na Mafao yao wanapostahafu aanalipwa kwa mbinde! Mtu anastasia leo analipwa basda ya miaka 2-3!!!!!!
  3. WAFANYIBIASHARA: Kuna maelfu ya Wafanyibiashara wamefunga biashara zao almost nchi nzima tatizo likiwa ni Serikali ya CCM. UTITIRI WA KODI KUBWA au almaarufu "KODI UMIZA".
Kama huyajui haya basi WEWE NDIYE MWENYE UFUKARA WA FIKRA NA AKILI.
Mungu na akusaidie.....!!!!
 
UNAFIKRA MBIRIKIMO NA AKILI ZENYE MATEGE,HATA KUJIBIZANA NA WEWE NI KUPOTEZA MDA,UNATAKA MAZINGIRA GANI WEZESHI AMBAYO KWA SASA HAYAPO?!, UNA KAZI MAALUMU KWELI WEWE!!???!, AU NDIO WALE WATU WAKIJIWENI WANAOSHINDA KUTWA KUCHA WAKITEGEMEA SERIKALI ILETE NEEMA!!??. UMEPOTEA BRO,FANYA KAZI KWA BIDII NA MATOKEO TA KAZI YAKO UTAYAONA,MWISHO WA YOOTE USIUWEKE HADHARANI UDHAIFU WAKO,ILA ENDELEA KUOTA NDOTO ZA MCHANA,JUA LITAKUAMUSHA,UMASKINI WAKO NA FAMILIA YAKO PAMOJA NA UKOO WAKO,UNATEGEMEWA JUHUDI ZAKO NA MAARIFA YAKO KTK UTENDAJI WA KAZI ZAKO,CCM HAITAKUPA MAFANIKIO,WALA CHADEMA PIA HAITAKUPA CHOCHOTE,
 
Ipi hiyo utaje usijute kwako ni tip ila kwao siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…