Mtazamo: Baada ya mishahara na posho za wafanyakazi kuongezwa, sitashangaa kuona mishahara na posho za wabunge nazo zikiongezwa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wakati mishahara na posho za watumishi wa umma zikiongezwa, akili yangu inaniambia wakati wowote sasa au baade kidogo, tutanza kuona au kusikia habari ya wabunge kuogezewa posho na mishahara..

Hoja inaweza kuanzishwa na wabunge wenyewe au serikali yenyewe ndio ikfanya hivyo na hii itakuwa ni wakati wowote kabla ya 2025(probably katika Bajeti ijayo).

Muda utathibitisha.
 
Hao lazima wamejiongeza pakubwa sn
 
Kuhusu mshahara kuongezwa kuna surprise inakuja wengi hadi sasa wamegoma kuelewa maana.
Pia hakuna posho iliyoongezwa, muda utasema
 
Kwani kuna ubaya?
 
Tunakopa kulipa posho kumbe
 
Hiyo ni automatic wala si jambo la kijiuliza ama kujifanya unapiga ramli.
 
ccm ni majambazi
 
Wakuu wa idara ndio wameula Dodoma ni mwendo wa bata ila kwa watumishi wa kawaida hamna kitu 80,000/=-100,000/= inaleta ukakasi waliopeleka mapendekezo walijijali wao kuliko watu wa chini yaani kutoka 120,000/= hadi 250,000/= na kwa hili mh.Raisi aliangalie tena sababu waziri nae hatuelewi kwani wangesifanya 150000/= kwa watumishi wa kawaida na 200,000/=kwa wakuu wa idara shida ingekuwa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…