Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #81
ha ha ha haHivi kwani mada imesemaje!??
Mada haijasema tutume picha.
Brother wanawake hawaingii kwenye mahisiano ili mradi tu.
Hao wenye 30 sio Kama wameshindwa kuengage ila tu hawajaamua.
Wanajua nn wanafanya.
Kwa hiyo msije mkadhani wanaumia
Tafsiri ya umalaya ni subjective. Sawa mkuu?Unaona akili za kimalaya hizi?
How?Tafsiri ya umalaya ni subjective. Sawa mkuu?
Nimesema neno ndoa za polygamy u Malaya unatoka wapi hapo hujui kuna dini na tamaduni wanaruhusu hii kitu?Unaona akili za kimalaya hizi?
Ukweli mchungu lazima uwe na maneno makali
Nitakupenda milele, niweke tu moyoni inatoshaNaomba unipende mpaka nikaweke picha yako kwa wallpaper ya simu ya dingi
Kitamaduni wanaume wa Afrika walikuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja. Walipokuja wamisionari wakaleta taratibu mpya ya kuoa mke mmoja. Leo watu kama wewe wakion mwanaume anazingatia tamaduni ya kiafrika ya kuoa wake wengi unasema ni umalaya.How?
Upo moyoni baby... KaribuNitakupenda milele, niweke tu moyoni inatosha
Nimesema neno ndoa za polygamy u Malaya unatoka wapi hapo hujui kuna dini na tamaduni wanaruhusu hii kitu?
Ukweli wapi una kazi ya kutushambulia tu kana kwamba sisi tumeumbwa na uwovu kumbe ninyi female humanoid mnafanya tuwe hvyo
Kitamaduni wanaume wa Afrika walikuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja. Walipokuja wamisionari wakaleta taratibu mpya ya kuoa mke mmoja. Leo watu kama wewe wakion mwanaume anazingatia tamaduni ya kiafrika ya kuoa wake wengi unasema ni umalaya.
Kwa hiyo niliposema umalaya ni subjective nilimaanisha kwamba polygamy inaweza kutafsiriwa kama umalaya au kinyume chake kutegemea na viewpoint yako.
Naamini Mungu yupo.Unaamini kama Mungu yupo na wewe ni kama Kiranga?
Sawa basi huyo Mungu hata awe Mungu wa nani hajaruhusu mwanaume kusaliti ndoa wala kuoa mke zaidi ya mmoja nipe andiko hata moja linaloruhusu mfanye hivyo na mimi nitakupa maandiko hata matatu yanayokataza mfanye hivyo naomba usinitolee mifano ya kina Abraham wala Jacob wala Solomon wala David maana najua ndiyo reference yenu wanaume wengiNaamini Mungu yupo.
Tena
Mungu wa Abraham baba wa Imani
Mungu Isaka
na Mungu wa Jacob /Israeli baba wa wana wa israeli.
Sitafanya kazi ya kukupa vifungu vya biblia vyenye ku advocate polygamy ila nachoweza kukwambia ni kwamba polygamy is a kin to African culture hutaki nenda Ulaya.Sawa basi huyo Mungu hata awe Mungu wa nani hajaruhusu mwanaume kusaliti ndoa wala kuoa mke zaidi ya mmoja nipe andiko hata moja linaloruhusu mfanye hivyo na mimi nitakupa maandiko hata matatu yanayokataza mfanye hivyo naomba usinitolee mifano ya kina Abraham wala Jacob wala Solomon wala David maana najua ndiyo reference yenu wanaume wengi
Bila kujua kwamba kuwa nabii au mtume hakumzuii mtu kufanya dhambi maana hakuna binadamu mkamilifu hao wote pamoja na kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja kila mmoja yalimpata ya kumpata na walipozeeka walikuja kutubu kwahiyo usinitolee mifano ya hao nipe andiko lilisimama kama sheria linaloruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja nasubiri
Kwahiyo tamaduni za mababu ndo zina mamlaka kuliko sheria za Mungu?Sitafanya kazi ya kukupa vifungu vya biblia vyenye ku advocate polygamy ila nachoweza kukwambia ni kwamba polygamy is a kin to African culture hutaki nenda Ulaya.
Wapo wengi miziwa mikubwa,pango kubwa,umekakamaaa,minyama minyama akutake nani?Hakuna mwanamke aliye singo labda atake yeye, lakini sio kusema hakuna wanaume .
Katika amri za Mungu aliye hai hakuna amri inayosema tunatakiwa kuoa mke mmoja.Kwahiyo tamaduni za mababu ndo zina mamlaka kuliko sheria za Mungu?
Wahusika wanaumia sana mkuu.Mbona hili suala la wadada walio single linawaumiza watu wengine kuliko wahusika wenyewe?
Kwa hiyo kama huyo anaumia ni kila mtu?Wahusika wanaumia sana mkuu.
Last week i found one lady who has two kids but still anaishi kwao though anafanya kazi na sio kuwa anaishi kwao eti hajiwezi kiuchumi la anaweza ila nakataa uhuru uliopitiliza kwa sababu wanaume wakigundu tu kuwa ana watoto wanasepa wengine wanakubali mwanzo ila wakishakula papuchi tu wanasepa mmoja wapo mimi .
Aliniambia kuwa sasa hvi atakuwa yeye na tango/ndizi damu damu kwa sababu anaumia sana hali ya upweke na anajua kabisa kuwa kila mwanaume anataka tu kuonja kipochi manyoya chake.
Sio kila mtu.Kwa hiyo kama huyo anaumia ni kila mtu?