Sawa basi huyo Mungu hata awe Mungu wa nani hajaruhusu mwanaume kusaliti ndoa wala kuoa mke zaidi ya mmoja nipe andiko hata moja linaloruhusu mfanye hivyo na mimi nitakupa maandiko hata matatu yanayokataza mfanye hivyo naomba usinitolee mifano ya kina Abraham wala Jacob wala Solomon wala David maana najua ndiyo reference yenu wanaume wengi
Bila kujua kwamba kuwa nabii au mtume hakumzuii mtu kufanya dhambi maana hakuna binadamu mkamilifu hao wote pamoja na kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja kila mmoja yalimpata ya kumpata na walipozeeka walikuja kutubu kwahiyo usinitolee mifano ya hao nipe andiko lilisimama kama sheria linaloruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja nasubiri