Mtazamo binafsi

Mimi nataka andiko kutoka kwenye biblia siyo hizi porojo za mafundisho ya ndoa
That’s nice utafundishwa vizuri ukiwa unafanya mafundisho ya ndoa relax muda ukifika utaelewa my statement..
 
duh pole yao ila mkuu soma mithali ya 31 yote alafu uniambie hata mwanaume kama nitahira atamnyanyasa.
Nidhamu? Heshima? Yaani mwanamke kusalitiwa na kunyanyaswa kwenye ndoa na mume wake ndo heshima hiyo au ndo nidhamu hiyo? Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
 
Usifikiri siijui hiyo mithali 31 naijua vizuri sana ila je na wanaume mnafuata maandiko au ndo mnataka wanawake tu ndo wayafuate? Mngekuwa mnafuata maandiko msingehalalisha kusaliti wake zenu na kuoa mke zaidi ya mmoja (kwa wakristo) kwahiyo mwanamke wa mithali 31 anamfaa mwanaume mwenye mke mmoja tu tena asiyemsaliti mkewe
duh pole yao ila mkuu soma mithali ya 31 yote alafu uniambie hata mwanaume kama nitahira atamnyanyasa.
 
Full kujichanganya. Mwanzo ulisema hutaki kujua wala kufuata chochote kinachotokana na tamaduni. Mara ghafla umepindua meza.

Ushauri wangu , muone mtaalamu wa saikolojia kabla hujachanganyikiwa zaidi ya hapa.
 
Sawasawa
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…