Mtazamo binafsi

Mtazamo binafsi

Mimi nataka andiko kutoka kwenye biblia siyo hizi porojo za mafundisho ya ndoa
That’s nice utafundishwa vizuri ukiwa unafanya mafundisho ya ndoa relax muda ukifika utaelewa my statement..
 
duh pole yao ila mkuu soma mithali ya 31 yote alafu uniambie hata mwanaume kama nitahira atamnyanyasa.
Nidhamu? Heshima? Yaani mwanamke kusalitiwa na kunyanyaswa kwenye ndoa na mume wake ndo heshima hiyo au ndo nidhamu hiyo? Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
 
Usifikiri siijui hiyo mithali 31 naijua vizuri sana ila je na wanaume mnafuata maandiko au ndo mnataka wanawake tu ndo wayafuate? Mngekuwa mnafuata maandiko msingehalalisha kusaliti wake zenu na kuoa mke zaidi ya mmoja (kwa wakristo) kwahiyo mwanamke wa mithali 31 anamfaa mwanaume mwenye mke mmoja tu tena asiyemsaliti mkewe
duh pole yao ila mkuu soma mithali ya 31 yote alafu uniambie hata mwanaume kama nitahira atamnyanyasa.
 
Sijakataa maandiko ni tamaduni lakini hizo ndizo tamaduni Mungu anazotaka na siyo tamaduni zilizoanzishwa na mababu na kwenye maswala ya mfumo dume usifananishe maandiko na tamaduni

Kwa sababu maandiko hakuna sehemu yanamruhusu mwanaume kumpiga, kumyanyasa, kumsaliti mke au kuoa mke zaidi ya mmoja (kwa upande wa wakristo) lakini tamaduni zinaruhusu yote hayo tena zinataka mwanamke asifurahie ndoa bali ahakikishe mwanaume ndo anafurahia ndoa kwahiyo hivyo ndivyo mnavyotaka?
Full kujichanganya. Mwanzo ulisema hutaki kujua wala kufuata chochote kinachotokana na tamaduni. Mara ghafla umepindua meza.

Ushauri wangu , muone mtaalamu wa saikolojia kabla hujachanganyikiwa zaidi ya hapa.
 
Duniani ni kusaidiana wakuu,kunachangamoto ya wadada kutokuwa na wapenzi hasa wale wenye umri mkubwa(30+).Kutokana na upungufu wa Me,mi nilikuwa naona njia ya kuwasaidia ni kuingia makubaliano ya hiari...miezi 6 unakuwa kwa equation x,miezi sita mingine kwa mwingine n.k lakini hakuna kupiga mizinga.Mnaonaje hilo wakuu?
Sawasawa
 
Usifikiri siijui hiyo mithali 31 naijua vizuri sana ila je na wanaume mnafuata maandiko au ndo mnataka wanawake tu ndo wayafuate? Mngekuwa mnafuata maandiko msingehalalisha kusaliti wake zenu na kuoa mke zaidi ya mmoja (kwa wakristo) kwahiyo mwanamke wa mithali 31 anamfaa mwanaume mwenye mke mmoja tu tena asiyemsaliti mkewe
Hahaha
 
Back
Top Bottom