Mtazamo binafsi

Mtazamo binafsi

Kwani malalamiko yanatolewa kwa vikundi?
kila mmoja anaonesha kukosa amani kulalamika kwa wakati wake. Ila mitandaoni kila mmoja atajifanya ni super woman.
Okok naona umeamua kuwa msemaji wa wanawake basi sawa
 
ha ha ha sio hivyo mkuu...hata mkiota usiku hayo mawazo huwa yanawaijia,sema hamtaki kusema ukweli
Wengine hatuna shaka tumeridhika na tulivyo kuanza kudhania kwamba Kuna kitu tunamiss hizo ni ramli kwa nini useme nafsi zetu??? Ilhali wenyewe tunawaza vingine tofauti na uwazavyo wewe?
 
Wengine hatuna shaka tumeridhika na tulivyo kuanza kudhania kwamba Kuna kitu tunamiss hizo ni ramli kwa nini useme nafsi zetu??? Ilhali wenyewe tunawaza vingine tofauti na uwazavyo wewe?
Tunaishi na nyie huku mitaani kwa hiyo changamoto mnazotupatia tunazijua..
 
Duniani ni kusaidiana wakuu,kunachangamoto ya wadada kutokuwa na wapenzi hasa wale wenye umri mkubwa(30+).Kutokana na upungufu wa Me,mi nilikuwa naona njia ya kuwasaidia ni kuingia makubaliano ya hiari...miezi 6 unakuwa kwa equation x,miezi sita mingine kwa mwingine n.k lakini hakuna kupiga mizinga.Mnaonaje hilo wakuu?
sithubutu
 
Back
Top Bottom