SoC04 Mtazamo chanya kwa watu wenye ulemavu

SoC04 Mtazamo chanya kwa watu wenye ulemavu

Tanzania Tuitakayo competition threads

heroine in the war

New Member
Joined
Jun 17, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Jamii inatakiwa kubadili mtazamo dhidi ya watu wenye ulemavu.

Kwani baadhi ya watu kwenye jamii zetu wanawachukulia watu wenye ulemavu kama kiumbe dhaifu.watu wenye ulemavu kwenye jamii wanoonekana kuwa hawawezi chochote kwenye jamii kitu ambacho sio sahihi
Watu wenye ulemavu sio kwamba hawawezi wanaweza tena kufanya makubwa kama watapewa nafasi.

Jamii kushirikiana na serikali inatakiwa kuwapa vipaumbele zaid watu wenye ulemavu Ili kuonyesha uwezo wao katika kujenga taifa Bora

Pia kujenga miundombinu rafiki kwenye sehemu za huduma za kijamii kama;hospitalini, mashuleni,sokoni, vituo vya usafiri pia hata majumbani.

Elimu ya kujitambua pia inatakiwa kutolewa na wadau mbalimbali katika jamii zetu Ili jamii iweze kuelewa kwa undani zaidi juu ya watu wenye ulemavu na kujua jinsi ya kuishi nao vizuri katika jamii

Jamii inatakiwa kuwa mstari wa mbele kuwaunga mkono na kuwatia moyo watu wenye ulemavu katika jitahada zao na sio kuwakatisha tamaa na kuwanyanyapaa

"Disability is not disability"

Hapo chini ni wanafunzi wa kawaida wakishirikiana na wanafunzi wenye ulemavu katika upande wa elimu na burudani pamoja na kukuza vipaji
IMG-20240530-WA0082.jpg


Nawasilisha
 
Upvote 3
Back
Top Bottom