unaposema ualimu,unakuwa too general,kuna chembechembe za ukweli,maana ili uwe mwl wa primary school unahitaji kupata kuanzia div iv ya pt 28 tu,kuna walimu wa sekondari o level ambao wao wana at least principals mbili kwa masomo ya a level,pia wapo walimu wa A level ambao hawa ni gradutes,wana criteria(perfomance)kama waandisi,lawyers,wahasibu etc.wameamua tu kusomea ualimu kwa sababu mbalimbali,kwa hiyo c walimu wote wana madaraja ya chini,ila kwa primary ni kweli wengi hawakufanya vzr,japo wapo wanaojiendeleza siku hizi,wanafikia hatua hata ya kuwa ma prof.nna mifano mingi tu!