masonda isdory
New Member
- Mar 26, 2011
- 4
- 0
Kwa miaka mingi sasa fani ya ualimu imeonekana kuwa ni ya watu waliopata daraja la chini. Mnaionaje hii wadau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji kufanya utafiti kwanza mkuu! Wanaofundisha vyuo vikuu (maprofesa) unawaweka kundi gani!
unaposema ualimu,unakuwa too general,kuna chembechembe za ukweli,maana ili uwe mwl wa primary school unahitaji kupata kuanzia div iv ya pt 28 tu,kuna walimu wa sekondari o level ambao wao wana at least principals mbili kwa masomo ya a level,pia wapo walimu wa A level ambao hawa ni gradutes,wana criteria(perfomance)kama waandisi,lawyers,wahasibu etc.wameamua tu kusomea ualimu kwa sababu mbalimbali,kwa hiyo c walimu wote wana madaraja ya chini,ila kwa primary ni kweli wengi hawakufanya vzr,japo wapo wanaojiendeleza siku hizi,wanafikia hatua hata ya kuwa ma prof.nna mifano mingi tu!