Mtazamo: Hatari kuu za kiusalama katika Taifa la Tanzania

Safi Sana tuendelee kushauri pengine ipo siku tutaeleweka ndugu
 
Ni mtazamo mzuri nimetoa Lkn kwa namna watanzania tulivyo wa ajabu Hawa maskini wenzetu wa upande wa teeth wanaweza kunitafuta waning'oe teeth duu!
ni madentist wazuri tu, watapangilia kinywa na nchi itakuwa sawia. mtazamo wako ni mzuri na useful kwao.
 
ni madentist wazuri tu, watapangilia kinywa na nchi itakuwa sawia. mtazamo wako ni mzuri na useful kwao.
Ninawakubali Sana hao madentist Lkn sometime nawaonea huruma Sana kwani mifumo inawafanya wafanye kazi zao kwa tabu Sana pia niwaombe teeth pamoja na changamoto hizo hebu ipendeni Sana nchi yetu tz kuliko ccm jamani
 
waipende sana nchi yetu Tanzania.
 
Toa rejea ya matukio ya kuhatarisha usalama wa nchi (URT) kutokana na mamlaka uliyoyataja kwenye kipindi sawa na umri wako.
 
Toa rejea ya matukio ya kuhatarisha usalama wa nchi (URT) kutokana na mamlaka uliyoyataja kwenye kipindi sawa na umri wako.
Magufuli katika Chaguzi zote za mwaka Jana serikali za mitaa na serikali kuu pia bwana jecha zanzibar ni rejea tosha ndugu
 
Maelezo mazuri
Ufahamu nini kazi ya usalama wataifa? Hapa petu usalama wataifa ni kuwashughulikia wapinzani tuu.

Lakini ujue kuwa Raisi, na viongozi wote wa serikali pamoja na wabunge wanaweza kuhatarisha usalama wataifa.
mfano walimu kukosa mishahara ni unahatarisha usalama wataifa
Vijana kukosa kazi pia unahatarisha usalama wataifa
mfumuko wa bei au kuengeza tozo kunaweza kuhatarisha usalama wataifa.
Tume ya uchaguzi ndio number moja katika kuhatarisha usalama wa taifa

kwa hivyo yoyote atakae sababisha wanachi kunungunika ni hatari kwa usalama wataifa.

Kwa hivyo kama wangefahamu hivyo basi leo kusingekuwa na mafisadi au viongozi wanao kula mali ya umma na minunguniko ingepotea.

Lapili mahaka iwe huru kuweza kumshi taki yeyote yule kama ni kiongozi au mfanyabishara au tajiri.

Dpp awe huru kuwatia hatiani viongozi na wote wanao fanya makosas bila ya amri.

Baada ya hyo nauliza suali.
Kwani kila analosema Raisi huwa sharia?
Au hupitiwa na mwana sharia na kupl;ekwa bungeni, kuandikwa na kutiwa saini na yeye. hapo huwa sharia.

Mfano Mwendazake alisema watoto wakipata mimba wasirudi shuleni. Jee hii ilikuwa sharia ?

Mwana sheria wa serikali ndiye anayepaswa kueleza kama hii ni sahihi au sisahihi.

Tanzania tuna wtu waoga na wachumia tumbo.
 
Kwa Tanzania kauli ya rais Ni sheria
 
hili bandiko ilibidi litengenezewe flemu
 
tukujengee sanam wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ