Mtazamo: Hotuba ya Mama huenda imeandaliwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Mtazamo: Hotuba ya Mama huenda imeandaliwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Nafikiri hao ndio waliomundalia hiotuba kama vile anaenda kuhutubia askari walioko au wanaojiandaa kwenda kwenye uwanja wa vita huki wananchi wakiwa ndio Jeshi la adui aliokuwa akiwaemq.

Sijui mmenielewa?
 
Labda vyombo vya kupikia.

20251129_194354.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
She stood on business. Kama rais hawezi kusimama mbele ya dunia na kulia lia mumchukulie poa. Unaweza kumchukia yeye na serikali yake uwezavyo ila huo ndo uhalisia.
 
Huyo hua anasoma tu wanaandaa wengine, hana akili za kuandaa hotuba huyo
 
Ni yeye mwenyewe km yule Rais jinga kupata kutokea
 
She stood on business. Kama rais hawezi kusimama mbele ya dunia na kulia lia mumchukulie poa. Unaweza kumchukia yeye na serikali yake uwezavyo ila huo ndo uhalisia.
Kwahiyo mkuu kwa tafsiri yako kuwajibika kwa yaliyotokea ni kulia lia?
 
Hapana asingewaita wale wazee kuongea ule upuuzi.

Mungu ndo kamfanya aongee yale ili dunia nzima ijue mhusika ni nani
 
Tanzania hii hakuna vyombo vya ulinzi wala vyombo vya habari, vyombo vilivyopo ni vya chakula na vya muziki, baaas!
 
Hivyo vyombo Ndio vipi hivyo?

Mapanga na marungu au bunduki na mizinga?
 
Back
Top Bottom