Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kwahiyo mkuu kwa tafsiri yako kuwajibika kwa yaliyotokea ni kulia lia?She stood on business. Kama rais hawezi kusimama mbele ya dunia na kulia lia mumchukulie poa. Unaweza kumchukia yeye na serikali yake uwezavyo ila huo ndo uhalisia.