finance2014
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 314
- 79
Many pple fall in love with the wrong person
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi? Samahani labda nina maneno makali lakini mke ni gharama sana zaidi ya dada poa. Chakula, matibabu, malazi etc plus matatizo ya familia yake plus kukunyima uhuru. Huwa nawaangalia mara 2 akili za wanaume wanaonitambulisha kwa wake zao wa ndoa. Hata katika kufanya maamuzi ya haraka ya kitaalam wako very poor. Kwa kifupi huwa siwaamini kwenye kazi zangu nyeti
Wacha ujinga , even a thug get lonely.
Tuache walala uchi tufaidi ndoa na familia zetu.
Pole hujawahi kupendwa wala kupenda,sitashangaa km wewe ni product ya mchepuko...mtoto aliyelelewa na baba na mama kwa upendo..na yeye huwa na upendo....na siku moja atataka kuanzisha familia yake na kuhakikisha anailea kwa upendo....upendo hauangalii gharama....mwana JF...mmoja hapo juu amesema ni unconditional....badilika mkuu dada poa sio solution...utaambulia magonjwa bure.....
Watu wengi wanafikii kwa kwa kukaririshwa bila kutumia akili zao. Wanafundishwa utumwa wa mawazo tangu wakiwa wadogo kama wewe kama wewe. Hata kama wazazi wako waliishi vibaya basi nawe uishi vibaya? Tumia akili yako badilisha maisha yako yawe bora zaidi na yenye uhuru zaidi na yenye ukweli kuliko hayo maisha ya kuigiza yenye kuidanganya nafsi yako. Suala kama ni product ya mchepuko au la halihusiani na hili, hapa ni utumwa na uhuru wa kufikiri kwa uhalisia bila kujidanganya. Kuhusu maradhi ndiyo umenichekesha kweli. Hivi hata kwa akili kidogo tu umeshindwa kujua kama asiye mtumwa wa ndoa yuko 100% safe kuliko aliye utumwani ambaye yuko 50% safe kwani 50% nyingine anatembea nayo bwana wake ambaye hujui yuko wapi saahizi!Pole hujawahi kupendwa wala kupenda,sitashangaa km wewe ni product ya mchepuko...mtoto aliyelelewa na baba na mama kwa upendo..na yeye huwa na upendo....na siku moja atataka kuanzisha familia yake na kuhakikisha anailea kwa upendo....upendo hauangalii gharama....mwana JF...mmoja hapo juu amesema ni unconditional....badilika mkuu dada poa sio solution...utaambulia magonjwa bure.....
Watu wengi wanafikii kwa kwa kukaririshwa bila kutumia akili zao. Wanafundishwa utumwa wa mawazo tangu wakiwa wadogo kama wewe kama wewe. Hata kama wazazi wako waliishi vibaya basi nawe uishi vibaya? Tumia akili yako badilisha maisha yako yawe bora zaidi na yenye uhuru zaidi na yenye ukweli kuliko hayo maisha ya kuigiza yenye kuidanganya nafsi yako. Suala kama ni product ya mchepuko au la halihusiani na hili, hapa ni utumwa na uhuru wa kufikiri kwa uhalisia bila kujidanganya. Kuhusu maradhi ndiyo umenichekesha kweli. Hivi hata kwa akili kidogo tu umeshindwa kujua kama asiye mtumwa wa ndoa yuko 100% safe kuliko aliye utumwani ambaye yuko 50% safe kwani 50% nyingine anatembea nayo bwana wake ambaye hujui yuko wapi saahizi!