Mtazamo kuhusu utunzaji wa akiba yako

stupid255

Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
27
Reaction score
34
Mi nadhani focus kubwa ingekua kwenye kuweka akiba kupitia precious metals hasa gold and silver kuliko hizo paper currency. Mana whether ni tzsh au currency nyingine yoyote paper currency Zina tabia ya Kushuka thamani (depriciation)mana hazithaminishwi na kitu chochote cha thamani Bali zinathaminishwa kwa Imani tu ya wananchi kwa serikali yao( yani leo hii serikali yoyote ile ikasimama na kusema pesa yake si halali imeifuta, what will you remain with the answer is nothing more than papers with names and scank faces of some politicians. Ila gold and silver zipo duniani karne kibao zinapanda tu thamani. Naombeni mkipata time mpitie hili somo la currency and money lake Mike Maloney
 
Mi ninatatizo la kutunza fedha
Njia nzuri ya kutunza pesa kiongozi mi nadhani ni kununua fedha aka madini ya thamani hasa gold au silver. kama huwezi kupata hivyo ni bora utunze kwenye assets ambazo haiwezi poteza thamani Bali kukua kwa thamani yake mfano ardhi. Japo asset kama ardhi inachukua muda kuzibadilisha kuwa pesa.
 

nimejaribu kuwa fuatilia sana wanaosema kukupa mbinu ya utajiri,siri ya utajiri au mafanikio.
kwanza jiulize wanatoka wapi na mazingira gani na wakati gani.
•unaweza kumsikiliza mtu anayo sema japo ni mazuri sawa na kukwambia "vumilia kidogo au ndondo si chululu" ukimwangilia ni mtoto wa mkuu,tajiri au nchi tajiri.

•wengine wapo kujiami ili kulinda biashara zao ubaki kuwa nyuma bila kutumia akili yako.

kuna mda mwengine kusanya mawazo na yafanyie mchanganuo si kubeba na kutekeleza
 
Kweli kabisa, kukusanya mawazo tofauti tofauti inakupa uelewa mpana zaidi wa mambo. Mimi sijaandika ili kumwambia mtu afanye mana hata Mimi sijafanya ila nilikua najaribu kutoa wazo kutokana na kukutana na maada nyingi za mambo foreign currency nikaona kwa kuwa Niko na mtazamo mbadala kutokana na kupitia mawazo ya wataalamu mbali mbali bora nichangie mawazo.hapa JF ni sehemu ya kukusanya mawazo na kujifunza suala la utekelezaji litabaki kuwa wazo huru la mtu
 
Hayo madini unanunua wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…