Mi nadhani focus kubwa ingekua kwenye kuweka akiba kupitia precious metals hasa gold and silver kuliko hizo paper currency. Mana whether ni tzsh au currency nyingine yoyote paper currency Zina tabia ya Kushuka thamani (depriciation)mana hazithaminishwi na kitu chochote cha thamani Bali zinathaminishwa kwa Imani tu ya wananchi kwa serikali yao( yani leo hii serikali yoyote ile ikasimama na kusema pesa yake si halali imeifuta, what will you remain with the answer is nothing more than papers with names and scank faces of some politicians. Ila gold and silver zipo duniani karne kibao zinapanda tu thamani. Naombeni mkipata time mpitie hili somo la currency and money lake Mike Maloney