Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

1. wagosi wa kaya all song

2. uswahilini matola pengo

3.mangwear mikasi

4. mangwear ft jmo kimya kimya

5. ferooz ft pjay starehe

6. ngwear ft dark master she got gwan

7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu

8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo

9. profesa jay ft qchila msinitenge

10. profesa jay ft juma nature ndio mzee
fanya marekebisho ferooz feat prof j-starehe ndiyo no. 1 baada ya hapo unaweza kuzipanga hizo nyingine kwa mtiririko unaotaka ww
 
Kama ushawai isikia hii ngoma unaweza ukakubaliana na mm kuwa hii ngoma ni moja ya collable bora kabisa kuwahi kufanyika apa bongo

Hapa solo sang pale prof na katikati mfalme wa rhymes afende sele, hawa jamaa waliumiza vichwa sana wakat wanatengeneza hii ngoma sijawai kuichoka
Ntaitafuta
 
kwa nyimbo yenye madini ni mtazamo na wala hakuna nyimbo kama hiyo tena,nyingine ni kali ila hazina madini.
Ushaona eeeh zilivuma kama mvua zen ziii zikapotea but mtazamo ukiisikiliza adi asa iv ni kama imetoka leo
 
Mzee wa Busara - Nature ft Inspector Harun ndio collabo kubwa kuwai kutokea kwenye bongofleva.
 
ingekuwa vip?? mwana fa ft j moo... hii ilikuwa balaaa

nyimbo ilijibiwa na watu zaidi ya 10..

watu walitoka kimuziki kwa kuijibu ingekuwa vipi
Tatizo ingekuwa vipi huyo mwana FA aligeza kwa mwana mmoja wa kwa obama
 
Daz baba ft sugu , dunia ya Leo Hii track usipime
 
1.Mikasi

2. Hii Leo

3. Zeze

4. Twenzetu

5. Mtizamo

6. Nipe 5

7. Mzee wa Busara (rmx)

8. Zamani ule wa
Q chillah Ft Jide

9. Latifah

10. Kigoma
 
Back
Top Bottom