Mtazamo: Poor handling ya COVID-19 katika nchi fulani inaweza kuja kupelekea anguko kubwa la chama tawala katika Taifa hilo

mbona ujenzi unaendelea
 
Hawa NYUMBU sio kwamba wana mapenzi sana na Watanzania.

Lengo lao ni vurugu tu itokee, kwani wanajua hali za Watanzania wengi hatuna uwezo wa kukaa ndani siku mbili bila kutoka nje kutafuta riziki.
 
Mambo yao waachie wenyewe

Wewe fanya yako
 

Viongozi wa dini wanachukua hatua katika maeneo yao ya ibada kwa kuweka umbali wa mita moja kati ya waumini.

Pia kwenye uchumi baadhi ya mahoteli na migahawa tayari kuna athari zimeanza kujitokeza kutokanana wananchi kuanza kuitikia wito wa wizara ya afya wa kukaa nyumbani.

Kwenye michezo na sekta kama usafiri tayari watu wameshauriwa kusimamisha shughuli zao hivyo kuathiri sehemu hizo.

Kwenye siasa nadhani wewe na wenzio mpo busy kufatuta cha kuhadaa wananchi.


Hakuna siasa kwenye kupambana na COVID -19

No research no right to speak.
 

Kwanza nikupongeze kwa kukosa kazi na kuandika pumba ndefu Hivi. Lakini mwambie Mbowe awaambie wanachama wa CHadema Demokrasia na Maendeleo wajilock down. Itakuwa the best „tutawatambua kwa matunda yao results“ ambayo haijawahi tokea. Please.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hivi unafamilia? kama unayowalock mwenyewe maana suala LA afya linaanzia home.....
 
CCM haina muda mrefu hapa duniani, ukweli ndio huo, iwepo corona isiwepo
 
Unawaonea huruma au unafurahia ?!?!
 
Ndugu yangu, zuia familia yako isitoke nje mbona simple tuu, kwani ukijilockdown nani atakubugudhi? Kaa ndani na familia yako, ili uiepushe familia yako na korona.
 
Utabiri unaenda kutimia
 
Salary Slip,

Acha watanzania wachape kazi ila wewe unaruhusiwa kukaa ndani mpaka ugonjwa wa corona uishe sasa hapo kuna shida gani. Unataka tukae ndani kwani sisi ni wazungu.
Siku hizi huonekani, njoo tena na maneno yako ya kipuuzi. Njoo tena uulize mitaani kwenu wamekufa wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…