Mtazamo tofauti kuhusu videoz za mchungaji Gwajima

Kubakwa kuko kwa aina nyingi, unaweza ukisema mwanamke katulia ukafikiri ameridhia, kumbe kapewa sharti la kufanya hivyo ili apate analohitaji. Hakuna tofauti na ubakaji, hivyo usitegemee mbwembwe na manjonjo yoyote.
 
Tume huru nchi hii ni matufuku...
Na binafsi nachelewa kuamini kuwa hili ni tukio la kweli....
Hakika huu ni mchezo mchafu dhidi ya Gwajima toka kundi hasidi...
Punde itakuwa dhahiri na Ole kwa kundi husika ....
Ni uwezo wako mdg wa kuchambua mambo sio kosa lako
 
Asilimia zaidi ya 50% wameshaiona?kupitia media gani TBC ama?
Watumiaji was ineternet Tanzania hawafiki hata milioni 5,acha kupotosha watu
 
Nimejaribu kuichunguza hii video nahisi kuna mambo hayajakaa sawa kabisa... Natamani kuusikia upande wa pili wa baba AskfView attachment 1091479
Sasa mamaee hapo si alikuwa anamkiss huyo demu kwa upande mwingne ambao hauna camera??? Mlitaka camera imfate au???? acheni kuwa wapuuzii na wajinga wa Imanii...[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Tulimaliza tuombe Ndude arejeshwe. Bring back
 
Mnakumbuka Dkt. Shika? Ilikuwa zengwe la kusahaulisha watu matukio makubwa. Mdude Chadema na CAG ndo mswala yenye manufaa kwa umma.
 
Hebu kwanza tujaribu kujiuliza; Picha ni yake au si yake? Mimi nimeona kama ni yeye.
Jambo la pili sauti iliyokuwa inatoka wakati anafika tamati kwenye zoezi alilokuwa anafanya ni yake au sio yake? Kwa namna nilivyozoea sauti yake mimi binafsi naona ni yake.
Wakati zoezi la kujirekodi linaendelea ilionekana kama anataka kuswich off ila ilionekana mwanamke akizuia mkono, swali kwanini mwanamke huyo alizuia ili video iendelee kurekodiwa? Ninavyowajua wanawake hawapendi kabisa kurekodiwa wakati wanafanya mapenzi!!! hapa kuna kitu cha kujiuliza kwanini mwanamke alitaka zoezi liendelee?

Kufuatana na uchambuzi hapo juu inaonekana picha na aliyerekodi ni Gwajima!!
Ninahisi zoezi hilo lilikuwa planned kwa muda mrefu bila Gwajima kutambua, hivyo ushawishi wa kurekodi ulitolewa na mwanamke ambaye huenda aliitega simu ya Gwajima ili iwe live na mwanamke alihakikisha sura yake haitambuliki ili msala umwangukie Gwajima.
 
Mimi mpaka sasa sijaiona hio video, mmoja anipm nifanye uchambuzi yakinifu
 
Lakini pia mtu akilazimishwa na mtutu wa bunduki huu hapa anaweza akasimamisha kweliii ikasimama?
 
Njia bora kabisa ni kumtafuta huyo bint na kusikiliza upande wake kagegedwa haja gegedwa?msilete hoja kama vile Geakiboy alikuwa anapiga punyeto ,G Boy alikuwa na binadamu wa kike aliyetimia kimaumbile ila mbovu ki perfomance .
Na huyo mambo sasa asiishie kumhoji Gwajima na kujifanya kama vile bint kabakwa inawezekana bint ndio engeneer au pupeteer wa mpango mzima.
Wanawake wame mrarua Suleiman Adam Clinton Kapiya Gwajima yeye nani asalimike?
GBoy aweza akawa victim wa vitimbi vya wanawake
 
Gwajima hawezi fanya dhambi ya namna hiyo tena akijirekodi mwenyewe.

Kama ni yeye kweli, basi pembeni kulikuwa na silaha nzitonzito za kivita.
 
Lakini pia mtu akilazimishwa na mtutu wa bunduki huu hapa anaweza akasimamisha kweliii ikasimama?
Sidhani kama kuna ishu ya mtutu wa bunduki, hapa kuna kuingizwa mkenge, bila kujua "planned". ndiyo maana kimwana hakutaka kuonekana.
 
Sidhani kama kuna ishu ya mtutu wa bunduki, hapa kuna kuingizwa mkenge, bila kujua "planned". ndiyo maana kimwana hakutaka kuonekana.
Huwenda dada aliandaliwa kitambooooooooo na akataka arekodiwee alafu GJ akaingia mkenge.HUWENDA.

lakini kwamba ni editing ile video no...labda tuletewe mfano wa editing zingine tuone Inachezajee zile picha za kueditiwa
 
Hii nchi mafala wengi sana...hvi hata km sio mtaalam wa IT hata ukitumia common sense unajua ile video fake!!!zNdo mana Bashite na baba yake wanatugeuzageuza tu kwa kutengeneza matukio ya kijinga
 
Hii nchi mafala wengi sana...hvi hata km sio mtaalam wa IT hata ukitumia common sense unajua ile video fake!!!zNdo mana Bashite na baba yake wanatugeuzageuza tu kwa kutengeneza matukio ya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…