Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uwezo wako mdg wa kuchambua mambo sio kosa lakoTume huru nchi hii ni matufuku...
Na binafsi nachelewa kuamini kuwa hili ni tukio la kweli....
Hakika huu ni mchezo mchafu dhidi ya Gwajima toka kundi hasidi...
Punde itakuwa dhahiri na Ole kwa kundi husika ....
Asilimia zaidi ya 50% wameshaiona?kupitia media gani TBC ama?Nadhani mpaka sasa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania washaiona video hiyo na zaidi ya asilimia themanini wameshasikia au kusimuliwa kuhusu tukio hilo.
Mimi binafsi pia ni mmoja wa watu ambao naamini kwa 100% kuwa yule ni Mchungaji, lakini je ni nini kilimfanya afikie hatua hiyo ya kujirekodi wakati akifanya tendo hilo ? Nimekuja na hypothesis tatu ambazo najaribu kuzitafutia majibu japo nadhani sitafanikiwa.
1: katika video, sura pekee inayoonekana ni ya mchungaji, yule binti anaonekana nusu tu. Hapa napata shida sana kukubaliana na akili yangu kuwa lile tukio lilikua la kawaida. Nimezoea kuona mara nyingi mdada ndio huonekana au sometimes wote.
2: mwanamke katika ile video kutoonyesha ushirikiano wowote. Yaani ni kama sex toy tu imewekwa hapo ili mtu amalize haja zake.
3: video imetawaliwa na simanzi, hapa namaanisha kwamba wahusika wapo katika utulivu wa hali ya juu mno. Kwa uelewa wangu mdogo kuhusu what so called Love and sex ni kuwa kunakua na vimbwembwe fulani hivi. Lakini kwa hili la mchungaji inaonyesha kama wahusika wa lile tendo ni watu ambao hata hawajazoeana.
Mahusiano ya mchungaji na watu wengine katika jamii.
Wote nadhani tunamjua Mchungaji vile ambavyo amekua akiingia kwenye sintofahamu na watu mbalimbali hasa katika jamii kupitia aina ya mahubiri katika kanisa lake kupitia principle yake ya 'ONE TOUCH DOUBLE MANIFESTATION' ambayo kipindi cha nyuma ameitumia sana kuwalipua watu mbalimbali.
Tujaribu kutafakari yafuatayo;
-Je hili linaweza likawa ni tukio la kulipiza kisasi?
-Je inawezekana limefanyika chini ya uangalizi wa mtutu wa bunduki?
-Je yule dada katika video, alitoa sharti la kutoonekana sura yake katika ile video ili waweze kufanikisha zoezi.?
-Ukimya wa Mhusika katika ile video ni ishara kwamba ame adhere na yale yaliyotokea na anatafakari nini cha kuja kutuambia? Au anasubiri jumapili kanisani?
Au amepigwa marufuku kusema chochote mpaka pale asilimia kubwa ya wa Tz watakapokua wamekua well informed na hii habari? Au tutegemee press ya mchungaji hivi karibuni ?
Au yawezekana mchungaji hayupo uraiani kwa sasa?
NB: Mchungaji ni mtu kama watu wengine. Inawezekana pia hili tukio kutokea huku akiwa na utashi wake kabisa bila kuwa na any motives behind.
Sasa mamaee hapo si alikuwa anamkiss huyo demu kwa upande mwingne ambao hauna camera??? Mlitaka camera imfate au???? acheni kuwa wapuuzii na wajinga wa Imanii...[emoji57][emoji57][emoji57]Nimejaribu kuichunguza hii video nahisi kuna mambo hayajakaa sawa kabisa... Natamani kuusikia upande wa pili wa baba AskfView attachment 1091479
Hebu kwanza tujaribu kujiuliza; Picha ni yake au si yake? Mimi nimeona kama ni yeye.Nadhani mpaka sasa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania washaiona video hiyo na zaidi ya asilimia themanini wameshasikia au kusimuliwa kuhusu tukio hilo.
Mimi binafsi pia ni mmoja wa watu ambao naamini kwa 100% kuwa yule ni Mchungaji, lakini je ni nini kilimfanya afikie hatua hiyo ya kujirekodi wakati akifanya tendo hilo ? Nimekuja na hypothesis tatu ambazo najaribu kuzitafutia majibu japo nadhani sitafanikiwa.
1: katika video, sura pekee inayoonekana ni ya mchungaji, yule binti anaonekana nusu tu. Hapa napata shida sana kukubaliana na akili yangu kuwa lile tukio lilikua la kawaida. Nimezoea kuona mara nyingi mdada ndio huonekana au sometimes wote.
2: mwanamke katika ile video kutoonyesha ushirikiano wowote. Yaani ni kama sex toy tu imewekwa hapo ili mtu amalize haja zake.
3: video imetawaliwa na simanzi, hapa namaanisha kwamba wahusika wapo katika utulivu wa hali ya juu mno. Kwa uelewa wangu mdogo kuhusu what so called Love and sex ni kuwa kunakua na vimbwembwe fulani hivi. Lakini kwa hili la mchungaji inaonyesha kama wahusika wa lile tendo ni watu ambao hata hawajazoeana.
Mahusiano ya mchungaji na watu wengine katika jamii.
Wote nadhani tunamjua Mchungaji vile ambavyo amekua akiingia kwenye sintofahamu na watu mbalimbali hasa katika jamii kupitia aina ya mahubiri katika kanisa lake kupitia principle yake ya 'ONE TOUCH DOUBLE MANIFESTATION' ambayo kipindi cha nyuma ameitumia sana kuwalipua watu mbalimbali.
Tujaribu kutafakari yafuatayo;
-Je hili linaweza likawa ni tukio la kulipiza kisasi?
-Je inawezekana limefanyika chini ya uangalizi wa mtutu wa bunduki?
-Je yule dada katika video, alitoa sharti la kutoonekana sura yake katika ile video ili waweze kufanikisha zoezi.?
-Ukimya wa Mhusika katika ile video ni ishara kwamba ame adhere na yale yaliyotokea na anatafakari nini cha kuja kutuambia? Au anasubiri jumapili kanisani?
Au amepigwa marufuku kusema chochote mpaka pale asilimia kubwa ya wa Tz watakapokua wamekua well informed na hii habari? Au tutegemee press ya mchungaji hivi karibuni ?
Au yawezekana mchungaji hayupo uraiani kwa sasa?
NB: Mchungaji ni mtu kama watu wengine. Inawezekana pia hili tukio kutokea huku akiwa na utashi wake kabisa bila kuwa na any motives behind.
Lakini pia mtu akilazimishwa na mtutu wa bunduki huu hapa anaweza akasimamisha kweliii ikasimama?Hebu kwanza tujaribu kujiuliza; Picha ni yake au si yake? Mimi nimeona kama ni yeye.
Jambo la pili sauti iliyokuwa inatoka wakati anafika tamati kwenye zoezi alilokuwa anafanya ni yake au sio yake? Kwa namna nilivyozoea sauti yake mimi binafsi naona ni yake.
Wakati zoezi la kujirekodi linaendelea ilionekana kama anataka kuswich off ila ilionekana mwanamke akizuia mkono, swali kwanini mwanamke huyo alizuia ili video iendelee kurekodiwa? Ninavyowajua wanawake hawapendi kabisa kurekodiwa wakati wanafanya mapenzi!!! hapa kuna kitu cha kujiuliza kwanini mwanamke alitaka zoezi liendelee?
Kufuatana na uchambuzi hapo juu inaonekana picha na aliyerekodi ni Gwajima!!
Ninahisi zoezi hilo lilikuwa planned kwa muda mrefu bila Gwajima kutambua, hivyo ushawishi wa kurekodi ulitolewa na mwanamke ambaye huenda aliitega simu ya Gwajima ili iwe live na mwanamke alihakikisha sura yake haitambuliki ili msala umwangukie Gwajima.
Njia bora kabisa ni kumtafuta huyo bint na kusikiliza upande wake kagegedwa haja gegedwa?msilete hoja kama vile Geakiboy alikuwa anapiga punyeto ,G Boy alikuwa na binadamu wa kike aliyetimia kimaumbile ila mbovu ki perfomance .Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali
Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio
Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video
Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa
Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo
Sidhani kama kuna ishu ya mtutu wa bunduki, hapa kuna kuingizwa mkenge, bila kujua "planned". ndiyo maana kimwana hakutaka kuonekana.Lakini pia mtu akilazimishwa na mtutu wa bunduki huu hapa anaweza akasimamisha kweliii ikasimama?
Huwenda dada aliandaliwa kitambooooooooo na akataka arekodiwee alafu GJ akaingia mkenge.HUWENDA.Sidhani kama kuna ishu ya mtutu wa bunduki, hapa kuna kuingizwa mkenge, bila kujua "planned". ndiyo maana kimwana hakutaka kuonekana.
Hii nchi mafala wengi sana...hvi hata km sio mtaalam wa IT hata ukitumia common sense unajua ile video fake!!!zNdo mana Bashite na baba yake wanatugeuzageuza tu kwa kutengeneza matukio ya kijingaNadhani mpaka sasa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania washaiona video hiyo na zaidi ya asilimia themanini wameshasikia au kusimuliwa kuhusu tukio hilo.