Nadhani mpaka sasa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania washaiona video hiyo na zaidi ya asilimia themanini wameshasikia au kusimuliwa kuhusu tukio hilo.
Mimi binafsi pia ni mmoja wa watu ambao naamini kwa 100% kuwa yule ni Mchungaji, lakini je ni nini kilimfanya afikie hatua hiyo ya kujirekodi wakati akifanya tendo hilo ? Nimekuja na hypothesis tatu ambazo najaribu kuzitafutia majibu japo nadhani sitafanikiwa.
1: katika video, sura pekee inayoonekana ni ya mchungaji, yule binti anaonekana nusu tu. Hapa napata shida sana kukubaliana na akili yangu kuwa lile tukio lilikua la kawaida. Nimezoea kuona mara nyingi mdada ndio huonekana au sometimes wote.
2: mwanamke katika ile video kutoonyesha ushirikiano wowote. Yaani ni kama sex toy tu imewekwa hapo ili mtu amalize haja zake.
3: video imetawaliwa na simanzi, hapa namaanisha kwamba wahusika wapo katika utulivu wa hali ya juu mno. Kwa uelewa wangu mdogo kuhusu what so called Love and sex ni kuwa kunakua na vimbwembwe fulani hivi. Lakini kwa hili la mchungaji inaonyesha kama wahusika wa lile tendo ni watu ambao hata hawajazoeana.
Mahusiano ya mchungaji na watu wengine katika jamii.
Wote nadhani tunamjua Mchungaji vile ambavyo amekua akiingia kwenye sintofahamu na watu mbalimbali hasa katika jamii kupitia aina ya mahubiri katika kanisa lake kupitia principle yake ya 'ONE TOUCH DOUBLE MANIFESTATION' ambayo kipindi cha nyuma ameitumia sana kuwalipua watu mbalimbali.
Tujaribu kutafakari yafuatayo;
-Je hili linaweza likawa ni tukio la kulipiza kisasi?
-Je inawezekana limefanyika chini ya uangalizi wa mtutu wa bunduki?
-Je yule dada katika video, alitoa sharti la kutoonekana sura yake katika ile video ili waweze kufanikisha zoezi.?
-Ukimya wa Mhusika katika ile video ni ishara kwamba ame adhere na yale yaliyotokea na anatafakari nini cha kuja kutuambia? Au anasubiri jumapili kanisani?
Au amepigwa marufuku kusema chochote mpaka pale asilimia kubwa ya wa Tz watakapokua wamekua well informed na hii habari? Au tutegemee press ya mchungaji hivi karibuni ?
Au yawezekana mchungaji hayupo uraiani kwa sasa?
NB: Mchungaji ni mtu kama watu wengine. Inawezekana pia hili tukio kutokea huku akiwa na utashi wake kabisa bila kuwa na any motives behind.
Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali
Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio
Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video
Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa
Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo