homboyz
Senior Member
- Oct 19, 2016
- 127
- 139
Kama ulikubali akina wizkid walistahili kushinda MAMA kwa kuwa walikuwa bora, basi inabidi tukubali nyimbo zao zilizowapa ushindi zinastahili kutumika zaid katika TV, miss TZ, Club zetu,na redion zetu
kumbuka kila sehemu tajwa hapo juu, watu wanataka ubora
Sorry, sipingi wao kulalamika matumizi makubwa ya nyimbo za kigeni ila nahisi huu sio muda wake, labda tujipange kurudisha thamani na heshima kwanza na kama tukiweza washinda tukawa bora na huu upuuzi ukaendelea tutakuwa na matatizo