mtazamo tu, sijasema akina FA wamekosea

mtazamo tu, sijasema akina FA wamekosea

homboyz

Senior Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
127
Reaction score
139
Kama ulikubali akina wizkid walistahili kushinda MAMA kwa kuwa walikuwa bora, basi inabidi tukubali nyimbo zao zilizowapa ushindi zinastahili kutumika zaid katika TV, miss TZ, Club zetu,na redion zetu
kumbuka kila sehemu tajwa hapo juu, watu wanataka ubora

Sorry, sipingi wao kulalamika matumizi makubwa ya nyimbo za kigeni ila nahisi huu sio muda wake, labda tujipange kurudisha thamani na heshima kwanza na kama tukiweza washinda tukawa bora na huu upuuzi ukaendelea tutakuwa na matatizo
 
Ukiona hivo hali ni mbaya sana,no shoo no wimbo mpya na media hazipigi nyimbo zao.
 
Mi nadhani Jokate asingependa kusikia nyimbo ya D'mond hivyo ili kuua soo wakaamua wapige zaidi za akina TEK....WIZ
Hizi tmz zinatuangusha sana
 
Back
Top Bottom