Uchaguzi 2020 Mtazamo: Tunakoenda watu watakuwa tayari kujitokeza na kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kujitokeza kwenye mikutano ya kampeni

Nimekumbuka upinzani walivyokua wanasubiria maandamano ya mangekimambi hapa jamiiforum na kilichotokea siku yenyewe ya maandamano.... waliufyata kama watakavyoufyata tena kwa TunduπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Watanzania waelewa sana, wanaziona kazi makini za John Pombe Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…