Uchaguzi 2020 Mtazamo: Tunakoenda watu watakuwa tayari kujitokeza na kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kujitokeza kwenye mikutano ya kampeni

Uchaguzi 2020 Mtazamo: Tunakoenda watu watakuwa tayari kujitokeza na kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kujitokeza kwenye mikutano ya kampeni

Nimekumbuka upinzani walivyokua wanasubiria maandamano ya mangekimambi hapa jamiiforum na kilichotokea siku yenyewe ya maandamano.... waliufyata kama watakavyoufyata tena kwa Tundu😂😂😂😂😂

Watanzania waelewa sana, wanaziona kazi makini za John Pombe Magufuli
 
Back
Top Bottom