Uchaguzi 2020 Mtazamo: Tunakoenda watu watakuwa tayari kujitokeza na kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kujitokeza kwenye mikutano ya kampeni

Vipi mmeandamana leo?., Wabunge mnalipwa milioni 12 kwa mwezi na marupurupu kibao na hamkumbukagi mnakotoka nani wa kuandamana apigwe kwa ajili yenu?.. Huwa sielewi nani anawadanganya upinzani mnakubalika kwa wananchi. Watanzania ni watu tofauti na mnavyodhani. Waweza kuongea pumba wakashangilia Ila siku ya kuandamana huwaoni. Yote aliyofanya JPM yanaonekana nyie endeleeni kupiga kelele mitandaoni, mtaandamana kwenye Keyboards tu na vi smart phone vyenu.
Tupo hapa mbezi Luis tayari kwa maandamano mkuu
 
Acheni kutusemea Wananchi tupo kimya tunawachora kama wajumbe vileee. Hivi wahuni mnafika laki tano? fanyeni jitihada mfikie japo milioni vinginevyo mnatafuta mwisho wenu mbaya.
 
Jana Lissu wenu kasanda mnaanza kuwaza maandamano. Na bado kichapo cha 28/10/2020
Siku mama yako,mwanao, dada yako,mzazi wako,ndugu yako,n.k , akipata madhara ya maandamano, ndio utakuwa na heshima
 
Kwanza tunaandamana Ili Iweje?

Mwageni Sera za kuvutia ambazo zitanifanya nizipiganie Kwa kuwa zinanigusa!

Wewe unapanda jukwaani tayari unaitisha mandamano bila hata ya Sera za kunifanya nivutiwe na ndizo zitakazonifanya niandamane au la

Watanzania sio wa kuswagwa kama kondoo
 
Sema watz wengi waoga sana wa mabadiliko, halafu wengi hawatambui haki zao.

Nchi hii ingekuwa na vichwa kumi kama Lisu kila mkoa, ujinga na unyanyasi wa ccm dhidi ya Raia ungekomeshwa mapema sana.

Watz mmezidi unyonge na uoga ndio maana mnachezewa sharabu kila siku.
 
Maandamano for what?. Anza kuandamana wewe mwenyewe, sio Watanzania.
 
Chanzo kikubwa ni Magufuli. Mtu mmoja tu anaweza kuangamiza Taifa au kuliokoa Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa la Tanzania mitandaoni limeanza kuangamia siku nyingi sana, kipindi cha JK kuna waliosema bora yafanyike mapinduzi ya kijeshi JK nchi imemshinda. Kaja Bulldozer kanyoosha nchi mnaanza kulalamika tena. Hakuna rangi mtaacha kuiona mwaka huu na pesa za kampeni hamna. Mtabaki kuandamana mitandaoni na chizi wenu Lissu. Mtaani shughuli za maendeleo zinaendelea hazijasimama na maisha yanasonga.
 
Kwa yanayoendelea,wananchi wanapata picha kuwa hakuna tena uchaguzi na hivyo hakuna maana yoyote ya kushiriki mikutano ya kampeni kwani hakuna tena kinachoitwa uchaguzi kwa maana ya uchaguzi kwa sifa zake.

Hivyo,wananchi hawa wataamasika zaidi kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya vyama vya siasa kwasababu mpaka sasa mikutano hii imeshapoteza maana kutokana na idadi kubwa ya wagombea wa upinzani katika ngazi zote isipokuwa uraisi kuenguliwa, huku zoezi hilo likionekana kuendelea licha ya muda wa kufanya hivyo kisheria kuwa umepita.

Wananchi hawatakuwa na hamasa ya kuhudhuria mikutano ya kampeni bali mioyo yao itaguswa zaidu na wito wa kuandamana kwa amani kudai uchaguzi ulio huru na wa haki na kiudai wagombea wa upinzani walioenguliwa warudishwe.

Huku ndiko tunakoelekea.
HIVI NANI ATAJALI KAMA WANANCHI HAWATAHUDHURIA MIKUTANO YA KAMPENI? NA NANI ATAWARUHUSU WAANDAMANE HATA HIYO KWA AMANI? KWANZA WANANCHI WENYEWE WANAO UJASIRI WA KUANDAMANA? WANAO UJASIRI WA KUIAMBIA DOLA KWAMBA NO THIS IS ENOUGH?

MIMI NIMEFUATILIA MATUKIO HAYA YALIYOSABABISHA BAADHI YA WAGOMBEA UBUNGE WAENGULIWE, KWA KWELI INASIKITISHA SANA. YAANI, MTU ANAPORWA FOMU NDANI YA OFISI YA DED AU OFISA MTENDAJI KABISA? INAFIKIA HATUA SUALA LA KUREJESHA FOMU LINAKUWA LA KUFA NA KUPONA, STILL WATU WANACHEKACHEKA? BADO TU MNAAMINI KUWA MNAWEZA KUSHINDA KWENYE MAZINGIRA HAYA NA MNAENDA KWENYE KAMPENI? TUNA JAMII ILIYOJIFIA NA INAZALISHA VIONGOZI WALIOJIFIA!
 
Taifa la Tanzania mitandaoni limeanza kuangamia siku nyingi sana, kipindi cha JK kuna waliosema bora yafanyike mapinduzi ya kijeshi JK nchi imemshinda. Kaja Bulldozer kanyoosha nchi mnaanza kulalamika tena. Hakuna rangi mtaacha kuiona mwaka huu na pesa za kampeni hamna. Mtabaki kuandamana mitandaoni na chizi wenu Lissu. Mtaani shughuli za maendeleo zinaendelea hazijasimama na maisha yanasonga.
KIMSINGI NCHI HAIJANYOSHWA, ILA IMEPELEKWA KIBRA!
 
Kwa yanayoendelea,wananchi wanapata picha kuwa hakuna tena uchaguzi na hivyo hakuna maana yoyote ya kushiriki mikutano ya kampeni kwani hakuna tena kinachoitwa uchaguzi kwa maana ya uchaguzi kwa sifa zake.

Hivyo, wananchi hawa wataamasika zaidi kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya vyama vya siasa kwasababu mpaka sasa mikutano hii imeshapoteza maana kutokana na idadi kubwa ya wagombea wa upinzani katika ngazi zote isipokuwa uraisi kuenguliwa, huku zoezi hilo likionekana kuendelea licha ya muda wa kufanya hivyo kisheria kuwa umepita.

Wananchi hawatakuwa na hamasa ya kuhudhuria mikutano ya kampeni bali mioyo yao itaguswa zaidu na wito wa kuandamana kwa amani kudai uchaguzi ulio huru na wa haki na kudai wagombea wa upinzani walioenguliwa warudishwe.

Kwa mtazamo wangu,huku ndiko tunakoelekea kutoka na ukweli kuwa mpaka swala la uchaguzi limeshapoteza maana na hata hamasa miongoni mwa wananchi.
Mkuu, salary slip, wakati mwingine nyuzi zako zinakuwa za kukata tamaa sana, na unakigharimu chama chako. Uzi wako wajuzi ulipelekea uzinduzi wa kampeni kuwa compromised na kuanza kuongelea suala waenguliwa, ambalo suala hili lingefanyika asubuhi badala ya jioni ile. Be careful na nyuzi zako zenye dalili za kukata tamaa, just my ushauri.
 
Vipi mmeandamana leo?., Wabunge mnalipwa milioni 12 kwa mwezi na marupurupu kibao na hamkumbukagi mnakotoka nani wa kuandamana apigwe kwa ajili yenu?.. Huwa sielewi nani anawadanganya upinzani mnakubalika kwa wananchi.

Watanzania ni watu tofauti na mnavyodhani. Waweza kuongea pumba wakashangilia Ila siku ya kuandamana huwaoni. Yote aliyofanya JPM yanaonekana nyie endeleeni kupiga kelele mitandaoni, mtaandamana kwenye Keyboards tu na vi smart phone vyenu.
Nikisoma comment za mtu mweusi nacheka sana...yaani mtu mweusi wanasahau kua ili Serikali iweze kufanya chochote lazma mwananchi alike kodi,lazma mwananchi alinde amani ila sasa ikifika muda wa Siasa utasikia Rais A kafanya hivi au vile...Kweli mtu mweusi ni mweusi basi
 
Kwa yanayoendelea,wananchi wanapata picha kuwa hakuna tena uchaguzi na hivyo hakuna maana yoyote ya kushiriki mikutano ya kampeni kwani hakuna tena kinachoitwa uchaguzi kwa maana ya uchaguzi kwa sifa zake.

Hivyo, wananchi hawa wataamasika zaidi kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya vyama vya siasa kwasababu mpaka sasa mikutano hii imeshapoteza maana kutokana na idadi kubwa ya wagombea wa upinzani katika ngazi zote isipokuwa uraisi kuenguliwa, huku zoezi hilo likionekana kuendelea licha ya muda wa kufanya hivyo kisheria kuwa umepita.

Wananchi hawatakuwa na hamasa ya kuhudhuria mikutano ya kampeni bali mioyo yao itaguswa zaidu na wito wa kuandamana kwa amani kudai uchaguzi ulio huru na wa haki na kudai wagombea wa upinzani walioenguliwa warudishwe.

Kwa mtazamo wangu,huku ndiko tunakoelekea kutoka na ukweli kuwa mpaka sasa swala la uchaguzi limeshapoteza maana na hamasa miongoni mwa wananchi.
Na mimi nimeliona hili!
Cha msingi hili jambo ni la watanzania wote. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kuukataa kwa vitendo ukandamizaji huu na kushiriki kikamilifu katika kudai haki ya kila mmoja wetu. Watanzanie huu ni wakati wetu sisi angalau kujisotora. Vyama vya siasa vimefanya wajibu wao. Na sasa kama raia tunahitaji kubadilisha uongozi for good, inatubidi tutimize wajibu wetu pia.
 
Kwa yanayoendelea,wananchi wanapata picha kuwa hakuna tena uchaguzi na hivyo hakuna maana yoyote ya kushiriki mikutano ya kampeni kwani hakuna tena kinachoitwa uchaguzi kwa maana ya uchaguzi kwa sifa zake.

Hivyo, wananchi hawa wataamasika zaidi kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya vyama vya siasa kwasababu mpaka sasa mikutano hii imeshapoteza maana kutokana na idadi kubwa ya wagombea wa upinzani katika ngazi zote isipokuwa uraisi kuenguliwa, huku zoezi hilo likionekana kuendelea licha ya muda wa kufanya hivyo kisheria kuwa umepita.

Wananchi hawatakuwa na hamasa ya kuhudhuria mikutano ya kampeni bali mioyo yao itaguswa zaidu na wito wa kuandamana kwa amani kudai uchaguzi ulio huru na wa haki na kudai wagombea wa upinzani walioenguliwa warudishwe.

Kwa mtazamo wangu,huku ndiko tunakoelekea kutoka na ukweli kuwa mpaka sasa swala la uchaguzi limeshapoteza maana na hamasa miongoni mwa wananchi.
Wananchi wajue jukumu la kudai mageuzi , haki , Ni lao kupitia nguvu ya umma , viongozi wa vyama wao ni waonyesha njia tu , watanzania wajixndae kwa nguvu ya umma ndio kiboko ya madikteta wote duniani.
 
Kwa yanayoendelea,wananchi wanapata picha kuwa hakuna tena uchaguzi na hivyo hakuna maana yoyote ya kushiriki mikutano ya kampeni kwani hakuna tena kinachoitwa uchaguzi kwa maana ya uchaguzi kwa sifa zake.

Hivyo, wananchi hawa wataamasika zaidi kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya vyama vya siasa kwasababu mpaka sasa mikutano hii imeshapoteza maana kutokana na idadi kubwa ya wagombea wa upinzani katika ngazi zote isipokuwa uraisi kuenguliwa, huku zoezi hilo likionekana kuendelea licha ya muda wa kufanya hivyo kisheria kuwa umepita.

Wananchi hawatakuwa na hamasa ya kuhudhuria mikutano ya kampeni bali mioyo yao itaguswa zaidu na wito wa kuandamana kwa amani kudai uchaguzi ulio huru na wa haki na kudai wagombea wa upinzani walioenguliwa warudishwe.

Kwa mtazamo wangu,huku ndiko tunakoelekea kutoka na ukweli kuwa mpaka sasa swala la uchaguzi limeshapoteza maana na hamasa miongoni mwa wananchi.
You've a point
 
HATUNA MUDA HUO WA MAANDAMANO
 
Back
Top Bottom