I and myself
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 328
- 324
Na hili ndo linawatesa sana vijana wengi sasa hivi, kutaka kuwa na freedom, freedom ya nini kama huingizi hela? Kuna mmoja aliacha kazi yenye mshahara mkubwa kama 2M akataka kuwa free.
Akajiingiza kwenye kilimo sasa hivi anajificha kama kindege haonekani mtaani wala haijulikani analala wapi, mambo yamemvurugikia kabisa, fanyeni kazi ufree utawaponza vijana!
[/QUOTEkushindwa kwake ni sehemu ya kupigania wazo lake naimani kama hata kata tamaa na akapata washauri wazurii ana uwezo wa kuinuka na kupambana wengine hapo alipo ame juwa Mara 100 za kushindwa kwenye biashara ya kilimo wewe umegundua nn.. Mtie moyo na usimvunje moyo ubovu watanzania wengi tuna weka macho na masikio kwa wenzetu washindwe ili tuwa cheke na kuwa sema pemben na waki fanikiwa tuna anza kuwatazama vibaya