Mtazamo upoje kuhusu ajira?

 
Huyo bado hajafeli kama personally haja admit his own failue., wanasema hata Roma haikujengwa ndani ya siku moja, unaemdharau leo, utamsalimia kwa heshima. it takes time to build a fortune.

Presha wanayokupa watu waotamani kuona umefanikiwa ndio mara nyingi inayowakatisha tamaa vijana wengi. badili fikra ndugu, badala ya kumcheka mpe moyo kuzifuata ndoto zake no matter hw and what it takes., sio lazma afate interest ya majority.
 
Nampea moyo wapi na nishasema haonekani mtaani anajificha, tatizo sio kujiajiri tatizo ni namna watu wanavyodanganyana kuacha kazi kizembe na kwenda kujiajiri alafu kudharau walioajiriwa utafikiri wakishajiajiri wateja wao ni waliojiajiri wenzao kumbe tunategemeana, wote tukiwa wajasiriamali nani atanunua kazi zetu wakati wateja wengi ni hao waajiriwa?
 
mnapenda kuona mtu amefanikiw tu'
kweny husle' mnakejeli'
siku akifanikiw sur mnawek wapi.
yajayo hatuyafahm'
kufahm umefany maamuz sahh au umekosea
step ktk kutoka kuajiriw
haliditerminiw na suceess au falier ya awamu moja au mbili'
all in all we should be careful during making transition
 
Ndo umeongea nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…