DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Enh!kupiga konobao
Cheka tu mkuu, vituko human haviishi TZMtu unashindwa hata kuelewa ucheke au usikitike.....
Uyu mzee kachoka sana ,anatembea amepinda mgongo ,na hii nilimuona mwaka juzi , haya nia maajabu ya 20 ya dunia tokea tz naunga mkono andiko hiliAnaandika Afande sele ,✍.
Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳
Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽
Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadhi ya wanasiasa wamejaa tamaa na ubinafsi hata pals wanapplkua na matatizo sio ya umri pekee bali hata kiafya💪🏽
Kiuhalisia Mzee kama huyu sio kwamba anaonekana kuwa na shida ya Afya ya mwili pekee ila hata akili zinaonekana hazikio sawa hasa kutokana na uamuzi wake huu ambao hata mwehu anajua mzee kama huyu hawezi kupambana kwenye majukwaa ya kampeni,,hawezi kushinda na hata kama angeweza vyote lakini bado kwa hali yake hii hawezi kuongoza chochote hata familia yake tena kuanzia ndani ya chumba chake cha kulala na mkewe😖
Wazee kama hawa ndio wa aina ya viongozi ving'ang'qnizi wa madaraka kama kina Paul Biya,,Museven,,Ssouswe Ngoswe,,Afellek na wengine wenye sifa mbaya nyingi ikiwemo udikteta wanaoendelea kunajisi tasnia ya siasa hasa za Afrika huku wao wakionekana kama watu wazima hovyo wanaojitengenezea mwisho mbaya 😡
Huyu ni mraibu wa kisiasa ,na wenye akili wanasema uraibu wa kisiasa ni mbaya na mgumu kuacha kuliko uraibu wowote kama kunywa..kuvuta hata kupiga konobao au punyeto😜
Sasa Mzee kama huyu akidondoka hata kufa Kwenye majukwaa ya kampeni utalazimishaje watu kumlilia au utazuiaje watu kushangilia kwa kuona kama amejitakia?🥱
Tamaa mbele mauti nyuma. .Chunga Tamaa Mbaya ☠️
Each one Teach one.✍🏽
I Change Nation🌎
Sina Hatia⚖️
7.3K views · 125 reactions | Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳 Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽 Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadh
Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳 Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽 Inaonyesha...www.facebook.com
Picha tafadhali 😂😂Kapiga suti na yebo yebo
Kwaiyo hawa ndio wale wanaitwa wafia nchi? 😄
Kalazimishwa kuchukua fomu ili kuongeza uwingi wa WagombeaAnaandika Afande sele ,✍.

Mwaka 2005 alikuwa mbunge wa jumbo.Tangu upinzani uanze mzee anagombea mwenyewe kwenye chama chake
Pamoja na uzee wa Cheyo, huyu mwehu tangu alipomtukana MUNGU matusi mazito na machafu eti kwa nini ameruhusu Magufuli afe sitaki kujua wala kutambua lolote toka kwake.Anaandika Afande sele ,✍.
Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳
Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽
Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadhi ya wanasiasa wamejaa tamaa na ubinafsi hata pals wanapplkua na matatizo sio ya umri pekee bali hata kiafya💪🏽
Kiuhalisia Mzee kama huyu sio kwamba anaonekana kuwa na shida ya Afya ya mwili pekee ila hata akili zinaonekana hazikio sawa hasa kutokana na uamuzi wake huu ambao hata mwehu anajua mzee kama huyu hawezi kupambana kwenye majukwaa ya kampeni,,hawezi kushinda na hata kama angeweza vyote lakini bado kwa hali yake hii hawezi kuongoza chochote hata familia yake tena kuanzia ndani ya chumba chake cha kulala na mkewe😖
Wazee kama hawa ndio wa aina ya viongozi ving'ang'qnizi wa madaraka kama kina Paul Biya,,Museven,,Ssouswe Ngoswe,,Afellek na wengine wenye sifa mbaya nyingi ikiwemo udikteta wanaoendelea kunajisi tasnia ya siasa hasa za Afrika huku wao wakionekana kama watu wazima hovyo wanaojitengenezea mwisho mbaya 😡
Huyu ni mraibu wa kisiasa ,na wenye akili wanasema uraibu wa kisiasa ni mbaya na mgumu kuacha kuliko uraibu wowote kama kunywa..kuvuta hata kupiga konobao au punyeto😜
Sasa Mzee kama huyu akidondoka hata kufa Kwenye majukwaa ya kampeni utalazimishaje watu kumlilia au utazuiaje watu kushangilia kwa kuona kama amejitakia?🥱
Tamaa mbele mauti nyuma. .Chunga Tamaa Mbaya ☠️
Each one Teach one.✍🏽
I Change Nation🌎
Sina Hatia⚖️
7.3K views · 125 reactions | Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳 Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽 Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadh
Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳 Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽 Inaonyesha...www.facebook.com
Niliamua kutokupiga kura ila sasa nimebadili mawazo nitapiga kura kumchagua huyu mzeeMtu unashindwa hata kuelewa ucheke au usikitike.....