GE2025 Mtazamo wa Afande Sele kuhusu chama alichokiita "magirini"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huenda wanatumikishwa na Chama tawala!
Na huu ndio ukweli wengi wasioujua huwa wanafikiri act inawatafutia stori za kuwatoa kwenye reli kwa kumtumia diamond tu,au Mpini!Wao wanagusa Pole Pole wanaachia kwa Mapesa na hali yake na Mapesa hayohayo yakiwa na Uzito tani wanapewa wengine wanunue michele kwa ajili ya ubwabwa nyinyi ni kazi ni kujadili tu mkija kushtuka October hii hapa
 
Anaandika Afande sele ,✍.

Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳

Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽

Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadhi ya wanasiasa wamejaa tamaa na ubinafsi hata pals wanapplkua na matatizo sio ya umri pekee bali hata kiafya💪🏽

Kiuhalisia Mzee kama huyu sio kwamba anaonekana kuwa na shida ya Afya ya mwili pekee ila hata akili zinaonekana hazikio sawa hasa kutokana na uamuzi wake huu ambao hata mwehu anajua mzee kama huyu hawezi kupambana kwenye majukwaa ya kampeni,,hawezi kushinda na hata kama angeweza vyote lakini bado kwa hali yake hii hawezi kuongoza chochote hata familia yake tena kuanzia ndani ya chumba chake cha kulala na mkewe😖

Wazee kama hawa ndio wa aina ya viongozi ving'ang'qnizi wa madaraka kama kina Paul Biya,,Museven,,Ssouswe Ngoswe,,Afellek na wengine wenye sifa mbaya nyingi ikiwemo udikteta wanaoendelea kunajisi tasnia ya siasa hasa za Afrika huku wao wakionekana kama watu wazima hovyo wanaojitengenezea mwisho mbaya 😡

Huyu ni mraibu wa kisiasa ,na wenye akili wanasema uraibu wa kisiasa ni mbaya na mgumu kuacha kuliko uraibu wowote kama kunywa..kuvuta hata kupiga konobao au punyeto😜

Sasa Mzee kama huyu akidondoka hata kufa Kwenye majukwaa ya kampeni utalazimishaje watu kumlilia au utazuiaje watu kushangilia kwa kuona kama amejitakia?🥱

Tamaa mbele mauti nyuma. .Chunga Tamaa Mbaya ☠️

Each one Teach one.✍🏽
I Change Nation🌎
Sina Hatia⚖️

Usalama wa Taifa wanaweza kumruhusu mzee wa hivi agombee Urais
Maana Usalama lazime waangalie kuwa wagombea wote ni sawa na wote wanaweza kushinda Urais.
SHIDA YA USALAMA WA TAIFA TZ huwa wanaangalia CCM maana wao wenyewe ni CCM ...
 
Anaandika Afande sele ,✍.

Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳

Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽

Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadhi ya wanasiasa wamejaa tamaa na ubinafsi hata pals wanapplkua na matatizo sio ya umri pekee bali hata kiafya💪🏽

Kiuhalisia Mzee kama huyu sio kwamba anaonekana kuwa na shida ya Afya ya mwili pekee ila hata akili zinaonekana hazikio sawa hasa kutokana na uamuzi wake huu ambao hata mwehu anajua mzee kama huyu hawezi kupambana kwenye majukwaa ya kampeni,,hawezi kushinda na hata kama angeweza vyote lakini bado kwa hali yake hii hawezi kuongoza chochote hata familia yake tena kuanzia ndani ya chumba chake cha kulala na mkewe😖

Wazee kama hawa ndio wa aina ya viongozi ving'ang'qnizi wa madaraka kama kina Paul Biya,,Museven,,Ssouswe Ngoswe,,Afellek na wengine wenye sifa mbaya nyingi ikiwemo udikteta wanaoendelea kunajisi tasnia ya siasa hasa za Afrika huku wao wakionekana kama watu wazima hovyo wanaojitengenezea mwisho mbaya 😡

Huyu ni mraibu wa kisiasa ,na wenye akili wanasema uraibu wa kisiasa ni mbaya na mgumu kuacha kuliko uraibu wowote kama kunywa..kuvuta hata kupiga konobao au punyeto😜

Sasa Mzee kama huyu akidondoka hata kufa Kwenye majukwaa ya kampeni utalazimishaje watu kumlilia au utazuiaje watu kushangilia kwa kuona kama amejitakia?🥱

Tamaa mbele mauti nyuma. .Chunga Tamaa Mbaya ☠️

Each one Teach one.✍🏽
I Change Nation🌎
Sina Hatia⚖️

Moderator futa bandiko hili, Cheyo (Mzee mapesa) hajachukua fomu kugombea Urais wala kupitishwa na chama chake kugombea Urais. Alafu huyu mpige ban kwa kuleta taarifa ya uongo kwenye jamii ya wataaluma na wanazuoni. Wagombea waliopitishwa na Mkutano Mkuu ni Saum Rashid (Mgombea Urais) na Mgombea mwenza Juma Khamisi Faki, kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Zanzibar ni Naima Salum.

View: https://www.instagram.com/p/DNOOsbVqxOp/?igsh=MWZ5ZGNtM2ZrazY1Zg==
 
Moderator futa bandiko hili, Cheyo (Mzee mapesa hajachukua fomu kugombea Urais) wala kupitishwa na chama chake kugombea Urais. Alafu huyu mpige ban kwa kuleta taarifa ya uongo kwenye jamii ya wataaluma na wanazuoni. Wagombea waliopitishwa na Mkutano Mkuu ni Saum Rashid (Mgombea Urais) na Mgombea mwenza Juma Khamisi Faki, kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Zanzibar ni Naima Salum.
✊🏿✊🏿👍🏼
 
Back
Top Bottom