GE2025 Mtazamo wa Afande Sele kuhusu chama alichokiita "magirini"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
WAAFRIKA ni jamii ya watu ambao hawajakamilika kiakili na ni ngumu sana kwao kubadilika
 
Kapiga suti na yebo yebo

Kwaiyo hawa ndio wale wanaitwa wafia nchi? 😄
Huyo sio mfia nchi akikaa nyumbani fungu la tawala hatapata inabidi ajitokeze uchaguzi ndio muda wao wakupiga madusko kama washirika wa tawala aka mbogamboga hizo nincovenants mpaka kufa sio kama anapenda🤣🤣🤣ushirika wa shetani
 
Mbunge wa Tanzania aliye hudumu miaka 25 bado anataka awe mbunge
 
Huyo sio mfia nchi akikaa nyumbani fungu la tawala hatapata inabidi ajitokeze uchaguzi ndio muda wao wakupiga madusko kama washirika wa tawala aka mbogamboga hizo nincovenants mpaka kufa sio kama anapenda🤣🤣🤣ushirika wa shetani
Dah! Mtihani kweli kweli mkuu
 
Mzee mapesa ..............haamini kama kashazeeka tayari............nafasi iliyobaki ni ya kutubu kwa muumba yeye anakimbilia uraisi..............kuvaa suruali mwenyewe hawezi ndio ataweza kuvaa koti la muungano kweli??...............au kijani kijani(hoho) katupanga??
 
Ukisikia ngoma ngumu ndiyo hii
Sasa

Ova
 
Hiyo bajeti ya kampeni ya uchaguzi na pesa igawanywe kwa wananchi tule kuku wa kienyeji ni matumizi mabaya ya akili na muda kusikiliza kampeni uchwara za mwaka huu,tumechoka na tsheti za buku na kofia za wuhani za jero.
Hakuna jipya mpaka mseme mmeachiaje Uranium na Gesi na bandari kirahisi,mjadara ukienda kwa zoom inatosha,acheni kutuaibisha na ujinga wa miaka mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…