GE2025 Mtazamo wa Afande Sele kuhusu chama alichokiita "magirini"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huenda wanatumikishwa na Chama tawala!
Na huu ndio ukweli wengi wasioujua huwa wanafikiri act inawatafutia stori za kuwatoa kwenye reli kwa kumtumia diamond tu,au Mpini!Wao wanagusa Pole Pole wanaachia kwa Mapesa na hali yake na Mapesa hayohayo yakiwa na Uzito tani wanapewa wengine wanunue michele kwa ajili ya ubwabwa nyinyi ni kazi ni kujadili tu mkija kushtuka October hii hapa
 
Usalama wa Taifa wanaweza kumruhusu mzee wa hivi agombee Urais
Maana Usalama lazime waangalie kuwa wagombea wote ni sawa na wote wanaweza kushinda Urais.
SHIDA YA USALAMA WA TAIFA TZ huwa wanaangalia CCM maana wao wenyewe ni CCM ...
 
Moderator futa bandiko hili, Cheyo (Mzee mapesa) hajachukua fomu kugombea Urais wala kupitishwa na chama chake kugombea Urais. Alafu huyu mpige ban kwa kuleta taarifa ya uongo kwenye jamii ya wataaluma na wanazuoni. Wagombea waliopitishwa na Mkutano Mkuu ni Saum Rashid (Mgombea Urais) na Mgombea mwenza Juma Khamisi Faki, kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Zanzibar ni Naima Salum.


View: https://www.instagram.com/p/DNOOsbVqxOp/?igsh=MWZ5ZGNtM2ZrazY1Zg==
 
✊🏿✊🏿👍🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…