Mtazamo wa Kipanya juu ya mapambano ya kupata Katiba Mpya

Mtazamo wa Kipanya juu ya mapambano ya kupata Katiba Mpya

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania.

Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa mashitaka mahakamani.

Tazameni hiyo picha hapa chini ili kwa wenye uelewa zaidi wa habari picha mtupashe zaidi.

Screenshot_20210901-085551.jpg
 
Mkuu heading na ulichokiandika vimenipa ugumu kukuelewa. Me nadhani mitizamo hapo ni mengi maana kumuelewa kipanya nako ni kipaji. Tiba inazama hata mimi sjafaham vizuri alikuwa anamaanisha nini?
 
Mkuu heading na ulichokiandika vimenipa ugumu kukuelewa..me nadhani mitizamo hapo Ni mengi maana kumuelewa KIPANYA nako Ni kipaji..TIBA INAZAMA HATA MIMI SJAFAHAM VIZURI ALIKUWA ANAMAANISHA NINI?
Jiongeze mkuu
 
1630478575634.png

Maoni yangu ni kuwa, pamoja na kuwa meli ya Katiba Mpya imepewa zigo zito la ugaidi lakini imegoma kuzama.
 
Bila shaka amelenga KATIBA, dhumuni ama zile harakati za kuchukua maaoni na nini tayari zishaanza kuzama, neno KA lishaanza kupotea ndio limebaki TIBA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukingia kule twita ndio utacheka.

Kina kigogo sasa hivi wananena kwa lugha, wamekuwa wahubiri huku wakimpigia chapuo Mo aendelee kuitawala simba
 
Ni ngumu sana kulizamisha wazo la Katiba mpya.. Ingawa watawala wanaiogopa Katiba mpya, lkn ndo TIBA ya changamoto nyingi zinazoonekana kulikwamisha Taifa kupiga hatua..
TIBA NI KATIBA.
 
Back
Top Bottom