mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,294
Kwani si anavuta au kaacha siku hizi?Oya kua makini

Sheria haisemi bangi huvutwa na waharifu, bali kuvuta bangi ni uharifu.Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha kusema kwamba kila anayetumia bangi ni muhalifu, mhuni au mtu wa ajabu?
Jamani, let’s be honest – kuna watu wanaovuta bangi lakini ni wasomi, wana nidhamu, wanaelewa namna ya kuishi na kuheshimu mipaka ya jamii. Wamejipanga, wanafanya kazi zao, wanaishi maisha ya heshima na wanajiheshimu. Lakini kwa sababu jamii imeshajengewa dhana potofu, mtu akionekana tu anavuta bangi, basi ni rahisi kwa watu kumtupia lawama na kumwona kama tishio.
Ndugu zangu, let us learn to assess people beyond surface impressions. Kabla hujafikia hatua ya kumshtaki mtu au kumuhukumu, chukua muda uangalie maisha yake kwa makini. Je, anaathiri watu vibaya? Je, ni mzigo kwa jamii? Au ni mtu anayejitahidi kujenga maisha yake kimya kimya? Don’t rush to conclusions just because society has labelled someone.
Hata hivyo, kwa wale ambao wanatumia bangi – nawaomba kwa upendo na heshima, take caution. Epukeni kukaa kwenye vijiwe au maeneo yanayotia shaka. Dunia ya sasa haina huruma; hata kama huna nia mbaya, mazingira tu yanaweza kukuharibia. Ukiona marafiki zako wanavuta bangi na wanakaa sehemu zenye utata au wanahusiana na matukio yasiyoeleweka, usisite kuchukua tahadhari. Usikubali maisha yako yapotee kwa makosa ya kuaminiana isivyofaa.
Ni bora kujitenga kwa muda na kupanga maisha yako kwa utulivu. This is not about fear, it’s about smart survival. Tusiishi kwa dhana kwamba dunia ni fair – hapana. Tusiwape watu nafasi ya kutuhukumu kirahisi. Tuishi kwa busara, tuwe na mipaka, na tujiulize kila siku: "Je, ninajilinda vya kutosha?"
Mwisho wa siku, sisi sote tunapambana katika maisha haya – wengine kwa njia sahihi, wengine kwa njia zisizoeleweka. Lakini si haki kabisa kumhukumu mtu kwa kile anachotumia bila kuangalia kiini cha maisha yake. Let us learn to look deeper before we act.
Ni maoni ya mtu anayeumia kuona vijana wakiangamia kwa kutotafakari, si kwa matumizi yao tu, bali kwa maamuzi ya jamii dhidi yao.
Tujifunze kuheshimiana. Tujifunze kufikiri kabla ya kuhukumu. Tujifunze kutunza maisha yetu
kwa tahadhari.
Wewe kakwambia nani Mama yake?Kwani si anavuta au kaacha siku hizi?
Naunga mkono hoja.Bangi ni kitu muzuri mazee na vile inafanyanga mtu kuwa intelligent ndiyo maana inakatazwa na authority.
Vuta ila usidakwe na usivutie njaaNaunga mkono hoja.
Bangi na Pombe ipi ni mbaya ?Bangi ingekuwa nzuri serikali haingepiga marufuku. Kwa vyovyote hata kama unavuta kwa nia njema ni lazima macho yaonyeshe wekundu. Ni kwa nini uruhusu wekundu kwenye macho?
The true high mountain strains of the rastasVuta ila usidakwe na usivutie njaa
Unavuta moshiThe true high mountain strains of the rastas
Yeah man. Now and foreverUnavuta moshi
Pamoja mkuu.Naunga mkono hoja.
Namfahamu vizuri sana, nimesoma naye. This is Jamii Forum mkuu, ni zaidi ya uijuavyo, usibabaishwe na ID zetu fake.Wewe kakwambia nani Mama yake?
Uko sahihiKatika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha kusema kwamba kila anayetumia bangi ni muhalifu, mhuni au mtu wa ajabu?
Jamani, let’s be honest – kuna watu wanaovuta bangi lakini ni wasomi, wana nidhamu, wanaelewa namna ya kuishi na kuheshimu mipaka ya jamii. Wamejipanga, wanafanya kazi zao, wanaishi maisha ya heshima na wanajiheshimu. Lakini kwa sababu jamii imeshajengewa dhana potofu, mtu akionekana tu anavuta bangi, basi ni rahisi kwa watu kumtupia lawama na kumwona kama tishio.
Ndugu zangu, let us learn to assess people beyond surface impressions. Kabla hujafikia hatua ya kumshtaki mtu au kumuhukumu, chukua muda uangalie maisha yake kwa makini. Je, anaathiri watu vibaya? Je, ni mzigo kwa jamii? Au ni mtu anayejitahidi kujenga maisha yake kimya kimya? Don’t rush to conclusions just because society has labelled someone.
Hata hivyo, kwa wale ambao wanatumia bangi – nawaomba kwa upendo na heshima, take caution. Epukeni kukaa kwenye vijiwe au maeneo yanayotia shaka. Dunia ya sasa haina huruma; hata kama huna nia mbaya, mazingira tu yanaweza kukuharibia. Ukiona marafiki zako wanavuta bangi na wanakaa sehemu zenye utata au wanahusiana na matukio yasiyoeleweka, usisite kuchukua tahadhari. Usikubali maisha yako yapotee kwa makosa ya kuaminiana isivyofaa.
Ni bora kujitenga kwa muda na kupanga maisha yako kwa utulivu. This is not about fear, it’s about smart survival. Tusiishi kwa dhana kwamba dunia ni fair – hapana. Tusiwape watu nafasi ya kutuhukumu kirahisi. Tuishi kwa busara, tuwe na mipaka, na tujiulize kila siku: "Je, ninajilinda vya kutosha?"
Mwisho wa siku, sisi sote tunapambana katika maisha haya – wengine kwa njia sahihi, wengine kwa njia zisizoeleweka. Lakini si haki kabisa kumhukumu mtu kwa kile anachotumia bila kuangalia kiini cha maisha yake. Let us learn to look deeper before we act.
Ni maoni ya mtu anayeumia kuona vijana wakiangamia kwa kutotafakari, si kwa matumizi yao tu, bali kwa maamuzi ya jamii dhidi yao.
Tujifunze kuheshimiana. Tujifunze kufikiri kabla ya kuhukumu. Tujifunze kutunza maisha yetu
kwa tahadhari.
Mapema mkuu
Vijiti vingapi vya Musa mpaka muda huu?Ma
Mapema mkuu
Kwa siku mi nakula TOM zangu 3Vijiti vingapi vya Musa mpaka muda huu?