Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

Huu upuuzi wa sukuma gang pele chato
 
 
Alikuwa na mabaya mengi kuliko mazuri,na alikuwa mtaalam wa propaganda kuliko hata hitler hao wanaomsifia walijazwa propaganda tu ni kama kagame tu,ana zuri moja tu ila mabaya mengi
Tuwekee hapa izo propaganda nasisi tuzijue mkuu
 
Shetani hajawahi kuwa mzuri hata siku moja,hayo yote mnsyoyaona mazuri hizo ni fahari zake za kukumaliza.
 
Tuwekee hapa izo propaganda nasisi tuzijue mkuu
Yaani kuna vitu alikuwa anajua ni uongo ila anavipa promo yeye na media mpaka vinaonekana ni kweli,list ni ndefu mkuu
 
Mere words is equal to rubbish,weka Audi visual sio maneno ya kutunga.

Huyo marehemu wenu mnajaribu sana kumhuisha lakini ni ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ tu...decayed and will never come back to life
 
Mere words is equal to rubbish,weka Audi visual sio maneno ya kutunga.

Huyo marehemu wenu mnajaribu sana kumhuisha lakini ni ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ tu...decayed and will never come back
ndio amekufa sasa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ kuna siku itakuja hoja kuwa hakufa bali alipaa,mtakatifu n.k. wakati tunajua alikuwa ni shetani ,na msiba wake hakuna rais ata mmoja wa magaharibi aliehudhuria
 
Kitanda usokilalia hukijuwi kunguni wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ