Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

Magufuli alikuwa Rais mbovu humu Jamii Forums na twitter only.
 
Acha kutumia nguvu nyingi kutuaminisha upumbavu wako,mpo wachache sana majinga kama nyinyi na mafisadi wenzenu ndo mlimchukia,Kuleni nchi Basi kuishi mile,msitake kutuforce
 
Hizi hadithi za kutunga zitasaidia nini!
Kuongea na mtu mmoja tu ndo analeta findings hapa shule za kata zimeharibu vijana hawa. Usikute nae kamaliza chuo huyu mleta mada
 
Acha kutumia nguvu nyingi kutuaminisha upumbavu wako,mpo wachache sana majinga kama nyinyi na mafisadi wenzenu ndo mlimchukia,Kuleni nchi Basi kuishi mile,msitake kutuforce
Na bado!! mtaumuka sana, hamjui tu! Mungu wetu hadhihakiwi dogo nuna pasuka!!.... ndo zenu hizo tutaishi tutajaa umri!! Muhindi huyo hapo ndo kwaanza kateuliwa kuwa mshauri wa fedha wa Rais Ramaphosa!

Kabendera yuko kwa Beberu ana kula Bata!! jiwe anakandamizwa na Dongo tani saba tena yuko hai kule ujue?? kuna nini hapo? .. hakukumbuka hata kutubu?.....mjifunzege!! hamtaki! mweee!
 
One thing is for sure, Watanzania tutamkumbuka Magufuli kwa mema mengi aliyotufanyia.

He was the president of his own calibre.

He had the guts and could get things done.

He was a true son of Africa.
Dikteta of Africa
 
Alikuwa na mabaya mengi kuliko mazuri,na alikuwa mtaalam wa propaganda kuliko hata hitler hao wanaomsifia walijazwa propaganda tu ni kama kagame tu,ana zuri moja tu ila mabaya mengi
Kwamba wanajazwa propaganda, hawana macho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…