Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
- Thread starter
- #21
Hisia zako tu hizo. Watanzania tujiamini.Wairan wana m bankroll Kikwete, Kikwete ana wa support kwenye nuclear.
At the same time Kikwete ana court support ya USA, anataka kuchikichia kutoka huku na kule.
Ila nuclear noma, Iran anataka kuitumia kijeshi, na matokeo yake yatakuwa si mazuri.Hizi tamaa zetu zitatuponza.
Kama wasema hivyo na wakenya je, waganda je na....na....na....
Iran kama China ina haja sana ya marafiki toka Afrika na imeshatembelea nchi nyingi sana tu za Afrika. Haikutembelea Tanzania kwa sababu eti Tuna Kikwete bali ni sababu ya kibiashara.