Mtazamo: Waliounga mkono juhudi na kisha kuaminiwa na kupewa vitengo, huenda baadhi walitumwa na sasa ndio wanahusika na yanayoendeleea huko Twitter

Ukiona awataki kukosolewa huku wakijiwekea Kinga ya kutoshtakiwa.Tujiandae kuvuna mabua.We msafi mzalendo kwann uogope uwazi kwann Kinga.
Hayo mabomu ya huko twita ndo inaelekea wanayo yaogopa.

Yatavujisha mengi.

Yaani wakimpata huyo Gogo(siyo Kigogo sasa), watamnyonga kwa korodani!
 
Hayo mabomu ya huko twita ndo inaelekea wanayo yaogopa.
Yatavujisha mengi.
Yaani wakimpata huyo Gogo(siyo Kigogo sasa), watamnyonga kwa korodani!
Wakimpata kigogo ataibuka,mti,wakimpata mti ataibuka kuni,hivo hivo Hadi mwisho wa dunia.Hays Mambo ya kufungia akili za watu boxin Nyerere alifaulu sababu mitandao haikuwepo
 
Mi nadhani kigogo 2014 Wapinzani wamtangaze kama shujaa wa taifa tena hadharani kwenye mikutano ya kampeni mwaka huu!!!
Hii ni asili anaye onewa akitokea anaye muonea naye akaonewa yule anayeonewa anasimama na huyo anayekuonea lililo jema ni kutoonea wengine
 
Kama sio Uzi wote basi hii comment yote itafutwa.
 
Key gogo tunampenda, MUNGU ampe maisha marefu!

Na bado ataendelea kuzipata na kuanika madudu yote ya malaika kichuguu na jopo lake
 
Wizi katika awamu hii utaandika historia kubwa kuwahi kutokea Africa!
 
Nyie mnachezewa tu

Ni sawa na wizi kumtupia mbwa mfupa ili ahangaike nao alafu mwizi apole

Usha sikia mkuu wa nchi analiongelea hilo la kigogo?

Mbona yale yasemwayo na hawa waitwao mawakala wa mabeberu immediately wanareact na wengine hata kupelekwa mahakamani

Kama hamjui osmotic principle ndio Hiyo.
Kigogo ni instrumental
Ambayo
Inanasa wale wasaliti wakweli wa system
Inafyonza taarifa zote za upinzani na wapinzani, huku kwa akili finyu za watanzania mkazani kuwa siri zinazo vuja ni za serikali kumbe ni kinyume chake

Jaribu tu sikumoja kabla huyu kigogo haja toa bomu lake

Uwaga kuna ka ukimya fulani kwenye system kanafanyika baadae ndipo mnamsikia kigogo

Hiyo ni propaganda wana wa by pass mind zenu mnashindwa ku reason

Mnajikuta mnakuwa busy kumfollow kigogo na kuwa mitandaoni huku issue za maana zikifanyika

Siasa ni sayansi na ina uwanja mpana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…