Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Njaa aliomba tcraccm waifute Twitter.Propaganda zilifaa dunia ya zamani sio ya sasa utaumbuka tu.Mataga hawana hamu na Twitter maana wameachwa uchi mafisadi wakubwa hawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa aliomba tcraccm waifute Twitter.Propaganda zilifaa dunia ya zamani sio ya sasa utaumbuka tu.Mataga hawana hamu na Twitter maana wameachwa uchi mafisadi wakubwa hawa.
Zimeandikwa "CONFIDENTIAL" hatuwezi kuziweka hadharani 😋😋😋Kweli kabisa huwezi kuattach hizo docs za twitter ili hata tusiojua kinachoendelea tujue?
Ujue bomu lake linakuja huko twitani!Salary Slip siku hizi umepoa sana mkuu.
Hayo mabomu ya huko twita ndo inaelekea wanayo yaogopa.Ukiona awataki kukosolewa huku wakijiwekea Kinga ya kutoshtakiwa.Tujiandae kuvuna mabua.We msafi mzalendo kwann uogope uwazi kwann Kinga.
Wakimpata kigogo ataibuka,mti,wakimpata mti ataibuka kuni,hivo hivo Hadi mwisho wa dunia.Hays Mambo ya kufungia akili za watu boxin Nyerere alifaulu sababu mitandao haikuwepoHayo mabomu ya huko twita ndo inaelekea wanayo yaogopa.
Yatavujisha mengi.
Yaani wakimpata huyo Gogo(siyo Kigogo sasa), watamnyonga kwa korodani!
Mataga asiye na bahati japo ana cv ya kabilaMataga fulani anasema tufunge twita
Hii ni asili anaye onewa akitokea anaye muonea naye akaonewa yule anayeonewa anasimama na huyo anayekuonea lililo jema ni kutoonea wengineMi nadhani kigogo 2014 Wapinzani wamtangaze kama shujaa wa taifa tena hadharani kwenye mikutano ya kampeni mwaka huu!!!
Kama sio Uzi wote basi hii comment yote itafutwa.Kigogo🇰🇪 (@kigogo2014) · Twitter
👉Kuna wakati Dr Mpango unatia huruma sana yaani! 😂😂😂 👉Haya ndiyo madhara ya kuwa kwenye serikali isiyokuwa na mipango mnakimbia kimbia tu mpaka WB wana suspend kuwapa hela 👉Halafu muwe mnawaambia matarumbeta yenu hii hela ya Ubungo interchange ni mkopo wa WB @TZMsemajiMkuu
Twitter · saa 1 iliyopita
👉Doto na Mpango WB walisimamisha kuwapa hela maana kazi ilikuwa haiendi hela mnafanyia mambo mengine! Sasa next time maichezee hela za watu 👉MATAGA-niliwaambia sitaki kujibizana na nyie maana hamjui kitu. Si mlisema hela ni ya Ndani haya someni barua hii huku mtajua mwenye mbwa
Twitter · saa 2 zilizopita
👉Waziri Mpango unasuasua sana kuamia haya mambo! Hii NICOL ni majangiri watupu wamejaa humu! 👉Why are you not acting? Hivi nyie watu mbona wavivu sana kufanya kazi kwa speed? Mmekula maharage ya wapi nyie?
Nchi hii inaliwa aisee.....huenda ni zaidi ya kipindi cha JK
Yani document zinazoshushwa huko ni hatari
Docs ni za kweli?Mfa maji haishi kutapatapa!
Wizi katika awamu hii utaandika historia kubwa kuwahi kutokea Africa!Kigogo🇰🇪 (@kigogo2014) · Twitter
👉Kuna wakati Dr Mpango unatia huruma sana yaani! 😂😂😂 👉Haya ndiyo madhara ya kuwa kwenye serikali isiyokuwa na mipango mnakimbia kimbia tu mpaka WB wana suspend kuwapa hela 👉Halafu muwe mnawaambia matarumbeta yenu hii hela ya Ubungo interchange ni mkopo wa WB @TZMsemajiMkuu
Twitter · saa 1 iliyopita
👉Doto na Mpango WB walisimamisha kuwapa hela maana kazi ilikuwa haiendi hela mnafanyia mambo mengine! Sasa next time maichezee hela za watu 👉MATAGA-niliwaambia sitaki kujibizana na nyie maana hamjui kitu. Si mlisema hela ni ya Ndani haya someni barua hii huku mtajua mwenye mbwa
Twitter · saa 2 zilizopita
👉Waziri Mpango unasuasua sana kuamia haya mambo! Hii NICOL ni majangiri watupu wamejaa humu! 👉Why are you not acting? Hivi nyie watu mbona wavivu sana kufanya kazi kwa speed? Mmekula maharage ya wapi nyie?
Kigogo na ukweli wapi na wapi?!Docs ni za kweli?
Mh! kwahiyo hizo nyaraka ni fake ones! May be! Ubungo interchange mlikopa hela WB? Simple, WB hawana siri!Kigogo na ukweli wapi na wapi?!