Mfamaji ni yupi sasa? Hao wanaovujishiwa nyaraka zao au wavujisha nyaraka?
Mfa maji haishi kutapatapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfa maji haishi kutapatapa!
Endelea kujifariji ndugu.Nyie mnachezewa tu
Ni sawa na wizi kumtupia mbwa mfupa ili ahangaike nao alafu mwizi apole
Usha sikia mkuu wa nchi analiongelea hilo la kigogo?
Mbona yale yasemwayo na hawa waitwao mawakala wa mabeberu immediately wanareact na wengine hata kupelekwa mahakamani
Kama hamjui osmotic principle ndio Hiyo.
Kigogo ni instrumental
Ambayo
Inanasa wale wasaliti wakweli wa system
Inafyonza taarifa zote za upinzani na wapinzani, huku kwa akili finyu za watanzania mkazani kuwa siri zinazo vuja ni za serikali kumbe ni kinyume chake
Jaribu tu sikumoja kabla huyu kigogo haja toa bomu lake
Uwaga kuna ka ukimya fulani kwenye system kanafanyika baadae ndipo mnamsikia kigogo
Hiyo ni propaganda wana wa by pass mind zenu mnashindwa ku reason
Mnajikuta mnakuwa busy kumfollow kigogo na kuwa mitandaoni huku issue za maana zikifanyika
Siasa ni sayansi na ina uwanja mpana.
Salary slip!Mfamaji ni yupi sasa? Hao wanaovujishiwa nyaraka zao au wavujisha nyaraka?