B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
KKKT isha kua ccm ni dhehebu la kulikataa mazimaBandiko zuri kabisa. Hananja Kuna mahali linapokuja Suala la kisiasa hutanguliza mbele U-CCM wake.
Nadhani alichoongea ni kwa faida ya chama chake CCM na Siyo kwa kuegemea mtizamo wa kichungaji au Biblia.
Andiko zuri sana.MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA
Askofu Gwajima hakukosea. Alitimiza wajibu wa kinabii wa kukemea maovu, kutoa ushauri, na kulinda dhamira ya taifa.
Ni mimi;
Mchungaji Ernest Kaduma
Kanisa la kiinjili la Kilutheri
Makambako
Limekiwa very disorganized.KKKT isha kua ccm ni dhehebu la kulikataa mazima
Hongera sana Mchungaji kwa ujasiri wako.MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA
Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala. Martin Luther King Jr. alipaza sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi Marekani; Desmond Tutu alisimama dhidi ya ubaguzi wa Apartheid Afrika Kusini; Oscar Romero alikemea utawala dhalimu nchini El Salvador hadi akauawa kwa ajili ya haki. Katika Afrika Mashariki, Askofu Gitari wa Kenya alikemea dhuluma za utawala wa Moi. Katika muktadha huu, si jambo la ajabu kwa Askofu Gwajima kutumia nafasi yake kukemea matendo ya hatari kama utekaji na kutoa ushauri wa kujenga taifa.
1. Mahali na Muktadha wa Kauli ya Askofu Gwajima
Hoja ya kwanza ya Hananja ina kasoro ya msingi ya kimantiki na kisiasa. Askofu Gwajima hakutoa kauli yake madhabahuni, bali alizungumza kama raia mwenye haki ya kikatiba kupitia mkutano na waandishi wa habari. Kauli yake haikuwa ya uchochezi, bali ya ushauri na ukemeo dhidi ya kitendo cha utekaji, jambo ambalo hata kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la jinai na linapaswa kukemewa na kila mzalendo. Je, ni kosa kwa raia kukemea maovu? Hapana.
2. Badala ya Kujibu Hoja, Zilipigwa Kelele
Mara baada ya Askofu kutoa ushauri na kuonyesha wasiwasi wake juu ya matukio ya utekaji, hakujibiwa kwa hoja, bali kwa matusi na kejeli kutoka kwa baadhi ya watu kama Tarimba. Kinachosikitisha zaidi ni kuona hata viongozi wakuu wa kisiasa, kama Mwenyekiti wa chama na Rais wa nchi, kuungana katika mwelekeo huo wa dhihaka badala ya kujibu hoja kwa msingi. Katika nchi ya kidemokrasia, tofauti za maoni ni msingi wa maendeleo ya kisiasa. Je, kosa la askofu Gwajima lipo wapi kwa kutoa ushauri aliouamini kuwa ni wa kujenga?
3. Kusema na Familia ya Kiroho Siyo Dhambi
Baada ya mashambulizi hayo, Askofu Gwajima alizungumza na familia yake ya kiroho – kanisa lake – kutoa ufafanuzi kuhusu kile kilichotokea. Hili siyo kosa wala siyo ukiukaji wa wito wa kiutume. Kama kiongozi wa kiroho, ana wajibu wa kuwaeleza washirika wake ukweli wa mambo ili wasiingie kwenye mkanganyiko wa taarifa potofu. Biblia yenyewe inafundisha:
Mithali 26:5 – “Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, asije akajiona mwenye hekima machoni pake mwenyewe.”
Hii ndiyo mantiki ya majibu ya Askofu kwa Tarimba, siyo chuki, bali kusahihisha kwa lugha ya kiwango sawa na aliyemshambulia – falsafa ya kijibu shutuma kwa usawa wa kisiasa.
4. Kati ya Kulinda Siri na Kulinda Maisha ya Watanzania
Hananja anadai kuwa Askofu Gwajima alipaswa kulinda “siri za nchi” – hoja hii ni ya kuficha dhuluma kwa kisingizio cha uzalendo. Katiba ya Tanzania haimtaki raia yeyote kufumbia macho uovu, ubadhirifu, wala mauaji. Viongozi wa dini wanatakiwa kuwa sauti ya wasio na sauti. Uzalendo wa kweli si kufumbia macho uovu, bali kuupinga. Utii kwa Mungu huja kabla ya utii kwa wanadamu:
“Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.” (Matendo 5:29)
5. Hananja: Mtumishi wa Mfumo na Tumbo
Biblia inasema:
Wafilipi 3:18-19 – “Maana wengi huenenda… kuwa ni adui za msalaba wa Kristo; mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo…”
Kwa hiyo, si ajabu kwa Hananja – ambaye ni sehemu ya mfumo – kujitokeza kumshambulia Askofu Gwajima kwa kuongea ukweli. Mfumo una tabia ya kulinda wenyewe hata pale wanapotenda maovu.
HITIMISHO
Hoja ya Hananja haina msingi wa kimaadili, wala haijajengwa katika muktadha wa historia ya viongozi wa dini duniani. Kutoka kwa Nabii Nathani aliyemkemea Mfalme Daudi, hadi kwa Yesu Kristo aliyesema “Ole wao Mafarisayo” mbele ya viongozi wa dini na dola ya wakati huo – tunajifunza kuwa ukimya wa viongozi wa kiroho mbele ya dhuluma ni usaliti kwa wito wao.
Askofu Gwajima hakukosea. Alitimiza wajibu wa kinabii wa kukemea maovu, kutoa ushauri, na kulinda dhamira ya taifa.
Ni mimi;
Mchungaji Ernest Kaduma
Kanisa la kiinjili la Kilutheri
Makambako
Nimemsikiliza Askofu Msonganzila wa jimbo katoliki la Musoma, jana kaongea mazito kuihusu serikali hii dhalimu.Hongera sana Mchungaji kwa ujasiri wako.
Mwamposa ni kama Malasusa tu pamoja na chawa wengine. Mpaka siku itokee wameumizwa wao kama wao, au watu wao wa karibu ndiyo akili zao nazo zitawakaa sawa.Mwamposa naye hawezi kukemea chochote wote wanaiogopa chichiem
Ova
Ngoja ni unfollow hananjaMTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA
Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala. Martin Luther King Jr. alipaza sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi Marekani; Desmond Tutu alisimama dhidi ya ubaguzi wa Apartheid Afrika Kusini; Oscar Romero alikemea utawala dhalimu nchini El Salvador hadi akauawa kwa ajili ya haki. Katika Afrika Mashariki, Askofu Gitari wa Kenya alikemea dhuluma za utawala wa Moi. Katika muktadha huu, si jambo la ajabu kwa Askofu Gwajima kutumia nafasi yake kukemea matendo ya hatari kama utekaji na kutoa ushauri wa kujenga taifa.
1. Mahali na Muktadha wa Kauli ya Askofu Gwajima
Hoja ya kwanza ya Hananja ina kasoro ya msingi ya kimantiki na kisiasa. Askofu Gwajima hakutoa kauli yake madhabahuni, bali alizungumza kama raia mwenye haki ya kikatiba kupitia mkutano na waandishi wa habari. Kauli yake haikuwa ya uchochezi, bali ya ushauri na ukemeo dhidi ya kitendo cha utekaji, jambo ambalo hata kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la jinai na linapaswa kukemewa na kila mzalendo. Je, ni kosa kwa raia kukemea maovu? Hapana.
2. Badala ya Kujibu Hoja, Zilipigwa Kelele
Mara baada ya Askofu kutoa ushauri na kuonyesha wasiwasi wake juu ya matukio ya utekaji, hakujibiwa kwa hoja, bali kwa matusi na kejeli kutoka kwa baadhi ya watu kama Tarimba. Kinachosikitisha zaidi ni kuona hata viongozi wakuu wa kisiasa, kama Mwenyekiti wa chama na Rais wa nchi, kuungana katika mwelekeo huo wa dhihaka badala ya kujibu hoja kwa msingi. Katika nchi ya kidemokrasia, tofauti za maoni ni msingi wa maendeleo ya kisiasa. Je, kosa la askofu Gwajima lipo wapi kwa kutoa ushauri aliouamini kuwa ni wa kujenga?
3. Kusema na Familia ya Kiroho Siyo Dhambi
Baada ya mashambulizi hayo, Askofu Gwajima alizungumza na familia yake ya kiroho – kanisa lake – kutoa ufafanuzi kuhusu kile kilichotokea. Hili siyo kosa wala siyo ukiukaji wa wito wa kiutume. Kama kiongozi wa kiroho, ana wajibu wa kuwaeleza washirika wake ukweli wa mambo ili wasiingie kwenye mkanganyiko wa taarifa potofu. Biblia yenyewe inafundisha:
Mithali 26:5 – “Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, asije akajiona mwenye hekima machoni pake mwenyewe.”
Hii ndiyo mantiki ya majibu ya Askofu kwa Tarimba, siyo chuki, bali kusahihisha kwa lugha ya kiwango sawa na aliyemshambulia – falsafa ya kijibu shutuma kwa usawa wa kisiasa.
4. Kati ya Kulinda Siri na Kulinda Maisha ya Watanzania
Hananja anadai kuwa Askofu Gwajima alipaswa kulinda “siri za nchi” – hoja hii ni ya kuficha dhuluma kwa kisingizio cha uzalendo. Katiba ya Tanzania haimtaki raia yeyote kufumbia macho uovu, ubadhirifu, wala mauaji. Viongozi wa dini wanatakiwa kuwa sauti ya wasio na sauti. Uzalendo wa kweli si kufumbia macho uovu, bali kuupinga. Utii kwa Mungu huja kabla ya utii kwa wanadamu:
“Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.” (Matendo 5:29)
5. Hananja: Mtumishi wa Mfumo na Tumbo
Biblia inasema:
Wafilipi 3:18-19 – “Maana wengi huenenda… kuwa ni adui za msalaba wa Kristo; mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo…”
Kwa hiyo, si ajabu kwa Hananja – ambaye ni sehemu ya mfumo – kujitokeza kumshambulia Askofu Gwajima kwa kuongea ukweli. Mfumo una tabia ya kulinda wenyewe hata pale wanapotenda maovu.
HITIMISHO
Hoja ya Hananja haina msingi wa kimaadili, wala haijajengwa katika muktadha wa historia ya viongozi wa dini duniani. Kutoka kwa Nabii Nathani aliyemkemea Mfalme Daudi, hadi kwa Yesu Kristo aliyesema “Ole wao Mafarisayo” mbele ya viongozi wa dini na dola ya wakati huo – tunajifunza kuwa ukimya wa viongozi wa kiroho mbele ya dhuluma ni usaliti kwa wito wao.
Askofu Gwajima hakukosea. Alitimiza wajibu wa kinabii wa kukemea maovu, kutoa ushauri, na kulinda dhamira ya taifa.
Ni mimi;
Mchungaji Ernest Kaduma
Kanisa la kiinjili la Kilutheri
Makambako
Kunda makundi ndani ya kanisa na yote ni sababu ya ubadhirifu uliopo ndani ya kanisa. Na upande mmoja una shirikiana na watekajiLimekiwa very disorganized.
Akija mchungaji huyu atasema yake, akija mwingine kesho anampinga aliyeongea jana; kanisa gani la hovyo hili!
Wachungaji kama nyie ndio mnastahili kupokea fungu la kumi na matoleo mengine!MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA
Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala. Martin Luther King Jr. alipaza sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi Marekani; Desmond Tutu alisimama dhidi ya ubaguzi wa Apartheid Afrika Kusini; Oscar Romero alikemea utawala dhalimu nchini El Salvador hadi akauawa kwa ajili ya haki. Katika Afrika Mashariki, Askofu Gitari wa Kenya alikemea dhuluma za utawala wa Moi. Katika muktadha huu, si jambo la ajabu kwa Askofu Gwajima kutumia nafasi yake kukemea matendo ya hatari kama utekaji na kutoa ushauri wa kujenga taifa.
1. Mahali na Muktadha wa Kauli ya Askofu Gwajima
Hoja ya kwanza ya Hananja ina kasoro ya msingi ya kimantiki na kisiasa. Askofu Gwajima hakutoa kauli yake madhabahuni, bali alizungumza kama raia mwenye haki ya kikatiba kupitia mkutano na waandishi wa habari. Kauli yake haikuwa ya uchochezi, bali ya ushauri na ukemeo dhidi ya kitendo cha utekaji, jambo ambalo hata kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la jinai na linapaswa kukemewa na kila mzalendo. Je, ni kosa kwa raia kukemea maovu? Hapana.
2. Badala ya Kujibu Hoja, Zilipigwa Kelele
Mara baada ya Askofu kutoa ushauri na kuonyesha wasiwasi wake juu ya matukio ya utekaji, hakujibiwa kwa hoja, bali kwa matusi na kejeli kutoka kwa baadhi ya watu kama Tarimba. Kinachosikitisha zaidi ni kuona hata viongozi wakuu wa kisiasa, kama Mwenyekiti wa chama na Rais wa nchi, kuungana katika mwelekeo huo wa dhihaka badala ya kujibu hoja kwa msingi. Katika nchi ya kidemokrasia, tofauti za maoni ni msingi wa maendeleo ya kisiasa. Je, kosa la askofu Gwajima lipo wapi kwa kutoa ushauri aliouamini kuwa ni wa kujenga?
3. Kusema na Familia ya Kiroho Siyo Dhambi
Baada ya mashambulizi hayo, Askofu Gwajima alizungumza na familia yake ya kiroho – kanisa lake – kutoa ufafanuzi kuhusu kile kilichotokea. Hili siyo kosa wala siyo ukiukaji wa wito wa kiutume. Kama kiongozi wa kiroho, ana wajibu wa kuwaeleza washirika wake ukweli wa mambo ili wasiingie kwenye mkanganyiko wa taarifa potofu. Biblia yenyewe inafundisha:
Mithali 26:5 – “Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, asije akajiona mwenye hekima machoni pake mwenyewe.”
Hii ndiyo mantiki ya majibu ya Askofu kwa Tarimba, siyo chuki, bali kusahihisha kwa lugha ya kiwango sawa na aliyemshambulia – falsafa ya kijibu shutuma kwa usawa wa kisiasa.
4. Kati ya Kulinda Siri na Kulinda Maisha ya Watanzania
Hananja anadai kuwa Askofu Gwajima alipaswa kulinda “siri za nchi” – hoja hii ni ya kuficha dhuluma kwa kisingizio cha uzalendo. Katiba ya Tanzania haimtaki raia yeyote kufumbia macho uovu, ubadhirifu, wala mauaji. Viongozi wa dini wanatakiwa kuwa sauti ya wasio na sauti. Uzalendo wa kweli si kufumbia macho uovu, bali kuupinga. Utii kwa Mungu huja kabla ya utii kwa wanadamu:
“Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.” (Matendo 5:29)
5. Hananja: Mtumishi wa Mfumo na Tumbo
Biblia inasema:
Wafilipi 3:18-19 – “Maana wengi huenenda… kuwa ni adui za msalaba wa Kristo; mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo…”
Kwa hiyo, si ajabu kwa Hananja – ambaye ni sehemu ya mfumo – kujitokeza kumshambulia Askofu Gwajima kwa kuongea ukweli. Mfumo una tabia ya kulinda wenyewe hata pale wanapotenda maovu.
HITIMISHO
Hoja ya Hananja haina msingi wa kimaadili, wala haijajengwa katika muktadha wa historia ya viongozi wa dini duniani. Kutoka kwa Nabii Nathani aliyemkemea Mfalme Daudi, hadi kwa Yesu Kristo aliyesema “Ole wao Mafarisayo” mbele ya viongozi wa dini na dola ya wakati huo – tunajifunza kuwa ukimya wa viongozi wa kiroho mbele ya dhuluma ni usaliti kwa wito wao.
Askofu Gwajima hakukosea. Alitimiza wajibu wa kinabii wa kukemea maovu, kutoa ushauri, na kulinda dhamira ya taifa.
Ni mimi;
Mchungaji Ernest Kaduma
Kanisa la kiinjili la Kilutheri
Makambako
Usimdharau mpinge kwa hoja , uungwana na vitendoNatangaza kumdharau Hananja katika kipindi chake chote cha uhai alichosaliwa nacho hapa Duniani
Hananja amesema ukweli mtupu, wacha kutuandikia insha zisizo na miguuMTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA

Hananja ni tapeli haswaBora angekaa kimya tuu asiongee lolote kwa sababu kaongea upuuzi mtupu hakuna cha maana alicho ongea nimemvua heshima yoooooote niliyo mvika na yeye ni mtu wa hovyo tuu