PreGE2025 Mtazamo wangu juu ya alichoongea Mchungaji Hananja kuhusu Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hananja ni Muhuni mnapoteza Mda kijibu mtu muhuni
 
Very excellent and good answer to Mr.Hananja.Na Hananja ndio wale wale wasaliti wa MUNGU watu wanatekwa wao wanchelekea tu kazi yao uhuni na mipasho majukwaani.
 
Mzee alitiririka vifungu vya maandiko kama mvua, nikamkumbuka ndugu mmoja mvaa suti nyeusi, kwa vifungu tu hajambo.
 
Hananja nimemdharau na kumpuuza kuliko shetani.
 
Mtu anasema kiongozi wa dini asijichanganye na siasa wakati yeye anaongea siasa
Haya ni maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…