makala7
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 497
- 407
Habari za asubuhi wakuu,ni matumaini yangu kuwa ni wazima na poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa.
Kwa kipekee nampongeza sana aliyeanzisha uzi wa kupeana likes kwa ubunifu mkubwa alioutumia mpka kufikiria kuanzisha uzi huo wenye wafuasi na washiriki wengi.
Yapo maswali ambayo ningependa kuuliza.
Je kuna uzi ambao unaongoza kwa kuwa na meseji nyingi kwa humu Jf kuliko uzi kwa kupeana likes?kama upo ni upi?
Je kwanini nyuzi nyingine hazina muamko mkubwa tatizo ni mvuto wa uzi au ni uchu na tamaa za kutaka likes?
ANGALIZO:
Jana zilimwagwa sifa nyingi sana na pongezi kwa Mngo'a kucha lakini ntaomba pia tumpongeze aliyeanzisha uzi wa kupeana likes kwani ana mchango mkubwa kwa Jf.Asanteni