mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Hata[/QUOTE]Hata ulichoandika pia ni rubbish. TE="The List, post: 25959599, member: 424570"]Vijiwe vya porojo na udaku huvutia uwepo wa watu wasio na dira na muelekeo..
Na hii ndio TZ ambapo vijana badala ya kutumia majukwaa kama haya kwa mijadala fikirishi..wao wanapambana kupata likes..rubbish kabisa!!
Mkuu kupata likes ni shida sana jaribu kuwa kule uone you need post na kulike post za wenzako sio rahisi kihivyo unavyofikiria lakini mwisho wa Siku ni Uzi bomba sana umekutanisha watu wamekuwa kama ndugu