Mtazamo wangu juu ya uzi wa kupeana likes,comment chochote upate like.

makala7

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
497
Reaction score
407
Habari za asubuhi wakuu,ni matumaini yangu kuwa ni wazima na poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa.
Kwa kipekee nampongeza sana aliyeanzisha uzi wa kupeana likes kwa ubunifu mkubwa alioutumia mpka kufikiria kuanzisha uzi huo wenye wafuasi na washiriki wengi.
Yapo maswali ambayo ningependa kuuliza.
Je kuna uzi ambao unaongoza kwa kuwa na meseji nyingi kwa humu Jf kuliko uzi kwa kupeana likes?kama upo ni upi?
Je kwanini nyuzi nyingine hazina muamko mkubwa tatizo ni mvuto wa uzi au ni uchu na tamaa za kutaka likes?

ANGALIZO:
Jana zilimwagwa sifa nyingi sana na pongezi kwa Mngo'a kucha lakini ntaomba pia tumpongeze aliyeanzisha uzi wa kupeana likes kwani ana mchango mkubwa kwa Jf.Asanteni
 
Kwenye psychology wanakwambia tabia ya mtu huchochewa ama hudumazwa na reward.

Negative reward itadumaza tabia husika, mfano ban.

Positive reward itachochea tabia husika mfano like.

Inawezekana kuna uzi una meseji nyingi zaidi ya huo ila inawezekana ukawa ni uzi ambao umepokea meseji nyingi ndani ya muda mdogo.

NB. Sijawa na jibu la moja kwa moja kwakua hua siingii nyuzi za hivyo.
 
Kwann huwa huingii mkuu mbona zipo poa tu?
 
Hata ulichoandika pia ni rubbish. TE="The List, post: 25959599, member: 424570"]Vijiwe vya porojo na udaku huvutia uwepo wa watu wasio na dira na muelekeo..

Na hii ndio TZ ambapo vijana badala ya kutumia majukwaa kama haya kwa mijadala fikirishi..wao wanapambana kupata likes..rubbish kabisa!![/QUOTE]
Hata
 
Kula likes kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…