Mtazamo wangu juu ya uzi wa kupeana likes,comment chochote upate like.

Hata[/QUOTE]
Mkuu kupata likes ni shida sana jaribu kuwa kule uone you need post na kulike post za wenzako sio rahisi kihivyo unavyofikiria lakini mwisho wa Siku ni Uzi bomba sana umekutanisha watu wamekuwa kama ndugu
 
Vijiwe vya porojo na udaku huvutia uwepo wa watu wasio na dira na muelekeo..

Na hii ndio TZ ambapo vijana badala ya kutumia majukwaa kama haya kwa mijadala fikirishi..wao wanapambana kupata likes..rubbish kabisa!!
Hahahaha,The list A.K.A connor1
Noma sana hujawahi appreciate kitu mpaka nahisigi kama kuna research unafanya ama umetumwa ufanye(shushushu).We jamaa ni noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…